Kati ya hizi nzuri ipi?

Kati ya hizi nzuri ipi?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Eti kati ya unesi, midwifery au radiology au medical imaging science ipi nzuri? mimi napenda sana radiology sasa wazazi wangu wananilazimisha nesi au midwifery lakini mimi hizo hazinifai kwanza sipendi watoto sipendi zile kelele zao, mimi nikisikia mtoto analia simbembelezi namfinya alie vizuri sasa nesi na midwifery si nitaua watoto wa watu. Na hii radiology(medical imaging science) ni nzuri? au nyi mnaonaje. Asanten i
 
Jaribisha kwanza kama unashika mimba, maana huwezi tu ukawa hupendi watoto
 
Eti kati ya unesi, midwifery au radiology au medical imaging science ipi nzuri? mimi napenda sana radiology sasa wazazi wangu wananilazimisha nesi au midwifery lakini mimi hizo hazinifai kwanza sipendi watoto sipendi zile kelele zao, mimi nikisikia mtoto analia simbembelezi namfinya alie vizuri sasa nesi na midwifery si nitaua watoto wa watu. Na hii radiology(medical imaging science) ni nzuri? au nyi mnaonaje. Asanten i
Ungetambua kwanza Hii thread yako inafaa jukwaa gani..
 
Eti kati ya unesi, midwifery au radiology au medical imaging science ipi nzuri? mimi napenda sana radiology sasa wazazi wangu wananilazimisha nesi au midwifery lakini mimi hizo hazinifai kwanza sipendi watoto sipendi zile kelele zao, mimi nikisikia mtoto analia simbembelezi namfinya alie vizuri sasa nesi na midwifery si nitaua watoto wa watu. Na hii radiology(medical imaging science) ni nzuri? au nyi mnaonaje. Asanten i
Umepotea njia mzee. Hii ni njia kuu kwenda POSTA.
 
Kama hupendi watoto kasomee uhudumu wa mochwari.
Mwanamke gani hupendi watoto?
Ajabu sana hii.
 
Back
Top Bottom