Kati ya hawa unamkubali nani?

Kati ya hawa unamkubali nani?

tatizo watu wanao fatilia movie za bollywood hapa ni wachache ila mimi naona chaguo langu ni Amrish puri apiga mpaka wajane si mchezo
Puri roho mbaya,ukatili,uonevu na mikwara ya hali ya juu. ila sasa akipatiwa huwa harushi hata ngumi, oga saana.
Ila carlos hadi anakwenda kaburini humuamini anakubadilikia any time.
 
Back
Top Bottom