MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
BOLO YOUNG
AMRISH PURI
CARLOS
Gary Oldman
KWA WAPENZI WA MOVIE ZA MIAKA YA NYUMA LAZIMA UKUTANE NA HIWA JAMAA WAKIONYESHA KILA AINA YA UKATILI.
unampata huyu carlos. Mpole lakini katili sanaCarlos babu.. Huyu mtu ni balaa.. Cjui yuko wap sasa hv
hahaa. Bolo Young ukimpiga ngumi anafuta. mkiiga mnaishia kutoana michuzi.Hii mijitu ilifanya tuzipige sana kavu kavu mitaani wakati huo dah!
mwoga sana huyu muhindi. Anaanza na mikwara anahonga mapolisi wanasiasa anakuwa kama mfalme nchi nzima,Amrish haramzadee dishwaaa.alikuwa mbabe ila akiwekwa mtu kati anajifanya kafa km jongoo mkijisahau tu anakufa na mtu
Imenibidi tu niaisee tuliokulia vijijini hatuna cha kuchangia
hahahahahaha kweli, ina maana haukuwahi kwenda hata kwenye vibanda vya movie mkuu?aisee tuliokulia vijijini hatuna cha kuchangia
hizo kuna baadhi ya maeneo tulikuwa tunaangalia cenema center au kumbi za video sio nyumbani mkuu. Nyumbani ilikuwa ni radio ya mbao tu. Ila nimeziona miaka ya 90 japo waliact miaka hiyo ya 70/80 na early90sTuambie miaka maana wengine kwenye 80s ndo tumetoka majeshi na kazi mshahara hata wa kununua Arusha to Moshi huna utawaza sinema? Wenzetu mlikuwa ni watu wa nyazifa gani maana mimi kuona sinema nilikuwa na over 30 na ni kwenye DTV hata hiyo ni baada ya kupata bahati ya kuacha kazi serikalini. TV labda Zenj na watoto wa wakubwa hasa wale waliokuwa wanakwenda kusoma wakirudi wanarudi na video na masahani ya music.