Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it

Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
*150*07#
 
Account ikiwa imeshiba hata ukikatwa Elfu tatu tatu hauoni mapungufu yeyote sasa weka Elfu 50 hata wakikata jero una nunua vocha la buku kuwapigia
 
Wadau kwema,

Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu.

Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee, deposit+ withdraw fee?

Umma wa Jamii Forums naomba msaada wenu.
Yaani unatumia jina la bandia Bado unaogopa kuitaja hyo Benkii... Duu hatr sana
 
Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it

Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
Hizi hapa sms nazopata
Sema mimi natumia cheki.!
Screenshot_20230412-154953_Messages.jpg
Screenshot_20230412-155552_Messages.jpg
 
Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it

Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
Chart sina,
Internet Banking wanayo
 
Back
Top Bottom