Kati ya ebay, Amazon na aliexpress wapi wapo vizuri

Kati ya ebay, Amazon na aliexpress wapi wapo vizuri

Watu wa Posta huwa wanachelewesha sana parcel maana kuna mizigo toka USA nilitumiwa via USPS priority mail imenichukuwa siku 21 kuipata wakati kawaida natakiwa niitie mkononi ndani ya siku 10 tu.
Yaani kila ukienda postal office kuulizia utaambiwa hakuna mzigo wako na wakati mwingine unaweza kupewa Ukichunguza unakuta umepigwa muhuri wiki moja kabla
 
Hbar wana jamvi
Nataka kujuzwa kati ya masoko ya mtandaoni tajwa hapo juu ni ipi iko vizuri katika unafuu wa bei, na huduma bora. Asanteni
Sijui unamaanisha kwa kutoka sehemu gani, lakini kama kwa Marekani, kati ya hao anayeongoza ni Amazon halafu hao wengine hata hawamkaribii.

Amazon wana customer service fulani hivi wanatakakuifanya kama mbinguni vile.

Ukinunua kitu halafu hujakipenda, ukakirudisha, wanakurudishia hela yako kwa kukuaminitu uki bonyeza kitufe tu kwamba umerudisha, kabla hata hawajakipata.

Kuna wakati nilinunua sdcards, moja ikawa famba, nikairudisha lakini sikuirudisha katika cover lake, ikawachanganya.

Nilivyokuwa namaliza return, walinirudishia hela zangu wakati hata hawajaipata bado.

Walivyoipata inaonekana waka i scan, kwa sababu nilitumia kasha jingine, bar code hazikumatch. Miezi sita baadaye, wakaniambia "tunaona ulisema utarudisha sdcard, tukakurudishaia hela, lakini hatuioni sdcard, tupigie simu ama sivyo tutachukua hela zetu tulizokurudishia".

Nikawapigia simu nikaongea na customer service rep ana heshima kichizi, akaniambia kaiona nilirudisha kwa hiyo nisiwe na wasiwasi.

Katika makampuni ninayofurahia customer service zaoni Amazon na Netflix.
 
Back
Top Bottom