Kati ya Equity card,mpesa mastercard au airtel ipi bora?

Kati ya Equity card,mpesa mastercard au airtel ipi bora?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,579
Ni ipi bora kati ya hizo ambayo ni nzur na uhakika ktk kufanya malipo ya mtandaoni huko Alibaba, aliexpress, ebay, amazon nk!

Na ni ipi yenye makato kidogo?
 
Mpesa ni rahisi ingawa ni kwa ushauri usiweke pesa nyingi kwenye iyo card weka pesa pale tu unapotaka kufanya malipo
 
Equity. Tengeneza account ya USD then utakuwa unanunua dola unaweka. Kama unalipa $9.99 inakatwa kama ilivyo hakuna cha nyongeza. Hakuna makato mengine.

Kadi nyingine zote, including ya equity tzs, wana exchange rate kubwa kuliko market rate, then wana forex markup fee, gharama ya kubadili fedha za kigeni.
 
Usipende kutumia can za benki kama master card au visa car kufanya manunuzi ya mtandaoni. Kwani ni rahisi kuibiwa pesa kwa njia ya mtandao na hackers ambao wanawez kuchukua pesa zako zote wakishilrikiana na wafanyakazi wa benki wasio waaminifu.
TUmia au fungua hizi Mater car d za mitandso ya simu kama ni kwa manunuzi ya mitandao kama alibaba weka kiasi kidogo cha fedha
 
Back
Top Bottom