Kati ya ebay, Amazon na aliexpress wapi wapo vizuri

Nmeona comment yako
Naomba kuuliza mfano nkitaka kununua electronic stuffs,uhakika wa kufika na gharama kuwa ndogo kidogo kutokea ebay ni nafuu kuliko amazon?
amazon wako relatively costlier ...nashauri tumia Ebay hasa kwa items ambazo hazitoki china...uk,germany,italy wana fast shipping siku 10 mzigo hua unafika (standard int'l shipping) ambayo ni around 3usd
 
Thanks alooot[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Gearbest wapo safi wale pia kuna geekbuying wenzao
Mkuu hawa jamaa apps yao kwa android mbona iko Kawaida sana compare na Ebay au aliexpress nashindwa ata kusearch bidhaa! Au ntumie normal browser
 
Nipo katika process ya kununua vitu kupitia alie express. Taratibu za kulipia zipoje,????
 
Amazon ni kama unanunua nguo kwenye botique za Masaki.

Ebay ni kama unanunua nguo hiyo hiyo kwenye botique za Sinza na mwenge.

Ali express ni kama unanunua nguo hiyohiyo Manzese.

[emoji23] nimependa huo ufafanuzi
 
Gearbest wapo safi wale pia kuna geekbuying wenzao
Tatizo la hawa geekbuying hawaoneshi kama wanaship kuja Tanzania wakati gearbest wanakuonesha bidhaa wanasafirisha kuja Tanzania na gharama za usafiri wanakuwekea
 
Nipo katika process ya kununua vitu kupitia alie express. Taratibu za kulipia zipoje,????
Kwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!
 
Mkuu habari. Vipi vitu vyako kutoka Aliexpress vilifika ? vilitumia muda gani ?
 
Kwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!
Tatizo sio AliExpress bali ni shipping company mimi nimeagiza speedlite ya camera two weeks mpk sasa mzigo umeshafika nimetumia DHL hawa jamaa wapo faster ila sasa gharama zao inaweza zidi hata bei ya mzigo wenyewe usipokuwa makini... Cha ajabu kitu nisichokijua nimeambiwa niende na TIN namba na mimi sina kwahiyo inanilazimu nikachukue tini namba ndio niende nikachukue mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!
Mimi nimemtumia kote kote AliExpress na eBay.
Maranyingi mizigo kupitia aliexpress standard shipping, Singapore post huwa inafika baada ya siku 12-14 na ikichelewa ni siku 21 pia China post registered airmail inachukua siku 21 au pungufu ya hapo.
Mziki ni kama umechagua free shipping ndiyo siku 30 au zaidi.
Ebay hivyo hivyo free shipping hata miezi 2 inaweza kufika
 
Back
Top Bottom