Yaani mkuu mm hata sielewi nimejaribu kutumia DHL wamenipiga custom duty 280,000,tbs 30,000 jumla 310,000 kwa mzigo wa $199 kutoka USA nimelipa vitu vyote hivyo kwa wakati kabla hata mzigo haujafika nikarelux nikjua mzigo ukifika wata deliver haraka sababu kila kitu tayari sasa mzigo umeshafika mpk leo una siku 10 na hawajanipa feed-back yoyote kuhusu mzigo wangu nimewapigia wananiambia mzigo wako unasubiri kibali cha TFDA wakati parcel yenyewe ni radio sasa hawa mamlaka ya chakula na dawa wanahusika vp na radio na baada ya kusumbuana nao sana wakaniprintia document 3 moja ina details zangu na location ni TZ ya pili ina details za mtu wa uturuki na location ni turkey,ya tatu ni location ni ice land na jina la mtu wa huko sasa cha kushangaza WBN number zinafanana zote tatu lakini details,majina na lacation hatufanani lakini bado nikiwauliza wananiambia lete kibali cha TFDA ndio mzigo utoke sasa mwenzangu labda wewe unawafahamu zaidi unaweza nishauri chochote.