M manboy Member Joined Jun 30, 2025 Posts 10 Reaction score 4 Jul 14, 2026 #1 Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering
Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,147 Reaction score 9,967 Jul 14, 2026 #2 manboy said: Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering Click to expand... Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu..
manboy said: Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering Click to expand... Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu..
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,036 Reaction score 4,281 Jul 14, 2026 #3 Ramadhani Mahene huyu
M manboy Member Joined Jun 30, 2025 Posts 10 Reaction score 4 Jul 14, 2026 Thread starter #4 iNine9 said: Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu.. Click to expand... Nimeutafuta kiongozi huo Uzi ila kiukweli nimeona hakuna unaoelezea kati ya Computer science na software engineering
iNine9 said: Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu.. Click to expand... Nimeutafuta kiongozi huo Uzi ila kiukweli nimeona hakuna unaoelezea kati ya Computer science na software engineering
M manboy Member Joined Jun 30, 2025 Posts 10 Reaction score 4 Jul 14, 2026 Thread starter #5 iNine9 said: Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu.. Click to expand... Naomba unisaidie Link ya huo uzi kiongozi
iNine9 said: Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu.. Click to expand... Naomba unisaidie Link ya huo uzi kiongozi