Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Jina lingine Super blackIla siasa na unafiki
Nimechelewa kujua Katelephone ndio Kasimu Majaliwa mpaka nimesoma comments 😀😀
Jina lingine Super blackIla siasa na unafiki
Nimechelewa kujua Katelephone ndio Kasimu Majaliwa mpaka nimesoma comments 😀😀
ANGALIA HAPANilikupata hapo kwenye pilipili..ila kiukweli naelewa asilimia 1 tu kati ya 100...na hata hiyo pilipili nakosa muunganiko na story nzima..kwakua uzi wote mzito
Naomba unitag huo uzi mkuuHUO Uzi siyo WA KILA MTU, JAPO KILA MTU anaweza kuusoma. KUNA disclaimer KULE MWANZONI KWENYE page ya KWANZA ukiwaomba BAADHI YA WATU wasihangaike kuusoma. KWA MFANO, pilikapila, pilipili, polepole, huoni kama HAYA MANENO YANA UHUSIANO?
HALAFU KWENYE J2 MOJA KABLA YA HAPO, ALIKUJA kwangu MTOTO mchanga AMBAYE HAJAWHI kuongea HATA NENO MOJA lakini SIKU HIYO ALIKUWA ANAONGEA NENO MOJA AKISEMA PIpi
WAKATI nikiwa Sejondari, niliwahi kuusoma KITABU kimoja CHA Abeid MSIBA. KWENYE mtaa FULANI KILIKUWA NI KICHaA MMOJA muokota makopo AMBAYE MARA ZOTE ALIKUWA akitamka SAA za afrika, SAA za afrika....
Kumbe ALIKUWA anamaanisaha KUWA KUNA Almasi zinaibiwa KULE South Afrika ILA WATU WALIKUWA hawaelewi
Yeah i see..ntatumia mifano hiyo ku decodeANGALIA HAPA
Pili-ka pili-ka
PILI PILI
Pole pole
PIki PIki
HALAFU PIki PIki, NAMBA ZAKE zinaanza NA MC
Ukiwaona WATU WA linguistics, WANAWEZA kukujulidha KUWA HII NI morphology, NA PIA MANENO HAYA yanafanana KWENYE rhyme; MC PIKIPIKI, Bajaj AU boda+boda. Huoni KUWA KUNA mfanano unaoleta MAANA HAPA?
HAPO SASA unaongeza NA NENO JINGINE boda boda, AMBALO linatokana NA NENO BORDER, AU mpaka WA NCHI, HALAFU unaunganisha tena NA KILE alichoongea WAZIRI MKUU JANA KWENYE mediaYeah i see..ntatumia mifano hiyo ku decode