Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,883
- 29,381
Hakika umesema kweliMpaka kufikia kumlazimisha meko awe rais wa maisha kama kurudisha fadhila kwa yale matibabu
Hakika umesema kweliMpaka kufikia kumlazimisha meko awe rais wa maisha kama kurudisha fadhila kwa yale matibabu
Ila hii picha imekaa kimkakati sanaHapa alikuwa anawabananga kwa cheko la kifedhuli linalotoa tafsiri Moja tu.
"Mmelikoroga lazima mlinywe"
View attachment 3505666
Unaningusha na wewe!Ila siasa na unafiki
Nimechelewa kujua Katelephone ndio Kasimu Majaliwa mpaka nimesoma comments 😀😀
Acha uwongo, Ayubu Ngugai alikuwa na UKIMWI na Diabetes. Na hivyo ndivyo alitumia billion of shillings kuvitibia mwaka 2015/16 akiwa India.
mnapata wapi siri za magonjwa ya wakubwa?Acha uwongo, Ayubu Ngugai alikuwa na UKIMWI na Diabetes. Na hivyo ndivyo alitumia billion of shillings kuvitibia mwaka 2015/16 akiwa India.
Huna unachokijua. HAWA WATU hawakuwahi KUWA kambi MOJA ILA wengi hawajui. Waacheni wapumzike KWA amaniMpaka kufikia kumlazimisha meko awe rais wa maisha kama kurudisha fadhila kwa yale matibabu
Mbona iliwekwa wazi kuwa amenunua mtambo wa bil. 2 wa kubadilishia damu kauweka nyumbani kwake!!?mnapata wapi siri za magonjwa ya wakubwa?
Na wewe una UKIMWI kumbe?Kiongozi gani nchi hii hauna ukimwi wee kisebusebu
Mzena Hospital pale Kijitonyamamnapata wapi siri za magonjwa ya wakubwa?
Ule uzi wako wa kiwendawazimu bado unaendelea??Huna unachokijua. HAWA WATU hawakuwahi KUWA kambi MOJA ILA wengi hawajui. Waacheni wapumzike KWA amani
Achana NAO. Huwezi kuelewa CHOCHOTE. Akili YAKE HAXIKO KWENYE KUFAHAMU HUO unouita wa uwendwazimuUle uzi wako wa kiwendawazimu bado unaendelea??
Yeah lengo legeza kamba kidogo...punguza ugumu wa codeAchana NAO. Huwezi kuelewa CHOCHOTE. Akili YAKE HAXIKO KWENYE KUFAHAMU HUO unouita wa uwendwazimu
HUO Uzi siyo WA KILA MTU, JAPO KILA MTU anaweza kuusoma. KUNA disclaimer KULE MWANZONI KWENYE page ya KWANZA ukiwaomba BAADHI YA WATU wasihangaike kuusoma. KWA MFANO, pilikapila, pilipili, polepole, huoni kama HAYA MANENO YANA UHUSIANO?Yeah lengo legeza kamba kidogo...punguza ugumu wa code
Shenzi sana jimama hiliUlimwambukiza na bado unasambaza kwa wanaume wengine. Nyie wanawake wa hivi hatari sana na unakuja jisifu huku JF.
Mimi Kassim Majaliwa Mpiluka ni Mzima wa afya.Miye sijui. Habari ndio hiyo. Hutaki acha. Walahi watu wabaya Nye Nye nye. Mayii. Yaleyale ya babu ayubu. Na bado. Ukitoka huko jichunge. Nalia mimi.
TwafaaaaMiye sijui. Habari ndio hiyo. Hutaki acha. Walahi watu wabaya Nye Nye nye. Mayii. Yaleyale ya babu ayubu. Na bado. Ukitoka huko jichunge. Nalia mimi.
Nilikupata hapo kwenye pilipili..ila kiukweli naelewa asilimia 1 tu kati ya 100...na hata hiyo pilipili nakosa muunganiko na story nzima..kwakua uzi wote mzitoHUO Uzi siyo WA KILA MTU, JAPO KILA MTU anaweza kuusoma. KUNA disclaimer KULE MWANZONI KWENYE page ya KWANZA ukiwaomba BAADHI YA WATU wasihangaike kuusoma. KWA MFANO, pilikapila, pilipili, polepole, huoni kama HAYA MANENO YANA UHUSIANO?
HALAFU KWENYE J2 MOJA KABLA YA HAPO, ALIKUJA kwangu MTOTO mchanga AMBAYE HAJAWHI kuongea HATA NENO MOJA lakini SIKU HIYO ALIKUWA ANAONGEA NENO MOJA AKISEMA PIpi
WAKATI nikiwa Sejondari, niliwahi kuusoma KITABU kimoja CHA Abeid MSIBA. KWENYE mtaa FULANI KILIKUWA NI KICHaA MMOJA muokota makopo AMBAYE MARA ZOTE ALIKUWA akitamka SAA za afrika, SAA za afrika....
Kumbe ALIKUWA anamaanisaha KUWA KUNA Almasi zinaibiwa KULE South Afrika ILA WATU WALIKUWA hawaelewi
Marehemu Job!Huyu ni nani