Kate, mke wa Ferdinand aonja Kaa la moto huko Instagram

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,469
Reaction score
11,252
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.

Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.

Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.

Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
 
Vipi wamemtumia na video za wale waharifu waliokuwa wanaua, kujeruhi na kupora Mali za watu?!!!

Anyway, hiyo ni mipango ya mashetani ya nyumbu wa lissu na kitima.....imeshashindwa kabla haijaanza. Na wengine weeeengi watakuja. Kwa kifupi ameni tu nchi lakini kuiharibu na kuzichukua kamwe hamuwezi...kajaribuni Uganda huko kwanza.
 
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.

Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.

Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.

Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
Wapelekewe moto mpaka wajifunze jinsi ya kudhibiti njaa zao!
 
Hii Si sawa! ingawa kweli inaweza saidia kupeleka ujumbe lakini kuja kujitibu baadae hata kama ccm imeondoka madarakani itakuwa kazi kubwa sana ya kujitakia.
Huwezi kuficha ugonjwa halafu ukasalimika.

Hii ndiyo njia sahihi kabisa ya kuueleza ukweli kwa ulimwengu nao wajue kilichotokea hapa.

Unataka kufunika uchafu na uvundo kwa kupulizia manukato?

Unamfichia nani hiyo siri; huyo anayeendelea kufanya uhalifu kwa waTanzania?

Ni muhimu kila kitu kiwekwe wazi, hiyo ndiyo dawa pekee itakayoliponyesha taifa hili.

"Kazi ya kujitakia" ni hiyo aliyofanya Samia. hakuna mTanzania aliyemtuma aliletee taifa hili aibu kubwa ya aina hiyo.
Sasa wewe pia sijui hii dhana potofu umeiokota wapi; unayo maslahi na huyo Samia?
 
Huwezi kuficha ugonjwa halafu ukasalimika.

Hii ndiyo njia sahihi kabisa ya kuueleza ukweli kwa ulimwengu nao wajue kilichotokea hapa.

Unataka kufunika uchafu na uvundo kwa kupulizia manukato?

Unamfichia nani hiyo siri; huyo anayeendelea kufanya uhalifu kwa waTanzania?

Ni muhimu kila kitu kiwekwe wazi, hiyo ndiyo dawa pekee itakayoliponyesha taifa hili.
Binafsi naamini utawala wa ccm hauna muda mrefu tena kwenye hii nchi.
Concern yangu, ni namna gani tunaweza irudisha image ya nchi kwa watu wenye potential kama tukiwapoteza saivi. (Ukiachana na Rio ambae sioni kama ana effects sana)
Ila kwa trend hii tunaweza haribu kwa watu wenye manufaa zaidi, haina tofauti sana na kuchoma infrustructures
 
Back
Top Bottom