Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
wadau nimejaribu kutafuta cv ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa ccm walipitishwa kuwania nafasi ya usipika wa bunge la 10.
Itafaa pia kama tukikumbushana kwa ufupi cv za wagombea wengine pia na nafasi zao za kuendeleza au kuitokomeza kazi nzuri ya sam sita
huyu ni mpenzi wa zamani wa makamba walikuwa wanafundisha wote kule ym alipobakaga na ana watoto wawili na mzee wa kiminyio so ni fisadi mwingine kwenye sisitim
hapo kwenye bold sijakuelewa.
Kwa hiyo hii ni timu ya ufisadi kulinda ufisadi au siyo??
Wadau nimejaribu kutafuta CV ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa CCM walipitishwa kuwania nafasi ya Usipika wa bunge la 10.
Itafaa pia kama tukikumbushana kwa ufupi CV za wagombea wengine pia na nafasi zao za kuendeleza au kuitokomeza kazi nzuri ya Sam Sita
Nakumbuka alikuwa Katibu wa Umoja wa akina Mama enzi zile nikiwa chipukizi!!! Nashangaa mpaka sasa bado yupo kwenye siasa tu!!! Kweli CCM inawenyewe!!
sidhani najua kuwa kate kamba ni mfanyakazi wa east africa commiunity ni mama imara na ana misimamo ya kweli huyu sio fisadi na naamini kama atachaguliwa atawapa wabunge haki sawa na nafasi ya kusema kwa usawa kabisa
Hayo majina yaliyopendekezwa nimeyasikia na kuyaimba toka nikiwa darasa la 3. Kwa sasa nakaribia miaka 50. Hivi wao hawazeeki wawapishe wanawake vijana? :A S check_03:
- Anna Makinda kapata CPA mwaka 1975 nikiwa vidudu...sasa hivi karibu nastaafu
- Anna Abdalla alikuwa mkuu wa mkoa 1975 hiyohiyo
- Kate Kamba alikuwa Katibu wa UWT nikiwa darasa la kwanza
sidhani najua kuwa kate kamba ni mfanyakazi wa east africa commiunity ni mama imara na ana misimamo ya kweli huyu sio fisadi na naamini kama atachaguliwa atawapa wabunge haki sawa na nafasi ya kusema kwa usawa kabisa
Anna Margareth Abdallah (born July 26, 1940) Aged 70 years and 4 months
For Anna Makinda joining politics was not a matter of coincidence.In 1975 she joined active politics at her pick age of 23(Born sometime in 1952 before TANU and therefore around 58) when she was nominated an MP through the youth wing and therefore becoming the youngest legislator of that time.
- Anna Makinda kapata CPA mwaka 1975 nikiwa vidudu...sasa hivi karibu nastaafu
- Anna Abdalla alikuwa mkuu wa mkoa 1975 hiyohiyo
- Kate Kamba alikuwa Katibu wa UWT nikiwa darasa la kwanza