Elections 2010 Kate Kamba ni nani hasa na anasimamia nini?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Wadau nimejaribu kutafuta CV ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa CCM walipitishwa kuwania nafasi ya Usipika wa bunge la 10.

Itafaa pia kama tukikumbushana kwa ufupi CV za wagombea wengine pia na nafasi zao za kuendeleza au kuitokomeza kazi nzuri ya Sam Sita
 
wadau nimejaribu kutafuta cv ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa ccm walipitishwa kuwania nafasi ya usipika wa bunge la 10.

Itafaa pia kama tukikumbushana kwa ufupi cv za wagombea wengine pia na nafasi zao za kuendeleza au kuitokomeza kazi nzuri ya sam sita

huyu ni mpenzi wa zamani wa makamba walikuwa wanafundisha wote kule ym alipobakaga na ana watoto wawili na mzee wa kiminyio so ni fisadi mwingine kwenye sisitim
 
huyu ni mpenzi wa zamani wa makamba walikuwa wanafundisha wote kule ym alipobakaga na ana watoto wawili na mzee wa kiminyio so ni fisadi mwingine kwenye sisitim

Hapo kwenye bold sijakuelewa.

Kwa hiyo hii ni timu ya ufisadi kulinda ufisadi au siyo??
 
hapo kwenye bold sijakuelewa.

Kwa hiyo hii ni timu ya ufisadi kulinda ufisadi au siyo??

sidhani najua kuwa kate kamba ni mfanyakazi wa east africa commiunity ni mama imara na ana misimamo ya kweli huyu sio fisadi na naamini kama atachaguliwa atawapa wabunge haki sawa na nafasi ya kusema kwa usawa kabisa
 
Wadau nimejaribu kutafuta CV ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa CCM walipitishwa kuwania nafasi ya Usipika wa bunge la 10.

Itafaa pia kama tukikumbushana kwa ufupi CV za wagombea wengine pia na nafasi zao za kuendeleza au kuitokomeza kazi nzuri ya Sam Sita

Nakumbuka alikuwa Katibu wa Umoja wa akina Mama enzi zile nikiwa chipukizi!!! Nashangaa mpaka sasa bado yupo kwenye siasa tu!!! Kweli CCM inawenyewe!!
 
Nakumbuka alikuwa Katibu wa Umoja wa akina Mama enzi zile nikiwa chipukizi!!! Nashangaa mpaka sasa bado yupo kwenye siasa tu!!! Kweli CCM inawenyewe!!

CCM ni ile ile. Kama wangetaka spika mwanamke anayejali maslahi ya taifa wasingerudisha wale wale wazee wa zamani ambao hawana jipya kwa taifa. Kwa nini wasimuweke Eng. Stella Manyanya, au Ana Kilango malecela. Bado hiyo ni namna ya kuwazuga wananchi baada ya mafisadi kushinda ndani ya CCM.

Mimi nakubali, kweli ni zamu ya wanawake kushika bunge lakini sio hawa wanaotaka kuwapandikiza kwa manufaa ya mafisadi. kama ni hawa, basi achukue mwanamme tu.
 
sidhani najua kuwa kate kamba ni mfanyakazi wa east africa commiunity ni mama imara na ana misimamo ya kweli huyu sio fisadi na naamini kama atachaguliwa atawapa wabunge haki sawa na nafasi ya kusema kwa usawa kabisa

hebu thibitisha hiyo kauli yako.
Sipo fisadi?
 
Kingine ninachofahamu kuhusu mama huyu ni kwamba anazungumza very fluent English.
 
Hayo majina yaliyopendekezwa nimeyasikia na kuyaimba toka nikiwa darasa la 3. Kwa sasa nakaribia miaka 50. Hivi wao hawazeeki wawapishe wanawake vijana? :A S check_03:
 
Kwa sasa ni mbunge wa Africa Mashariki. Ni mmoja wa mafisadi. Kuna wakati alikuwa ni mjumbe wa tume ya kurekebisha mashirika ya Umma na akuziwa eneo lilikuwa la NAPOCCO kule Gongolamboto kwa bei chee akaanzisha shule,Sasa kagawa eneo kawauzia Kampala International University na pia mmoja wa watoto wake ni kati ya wale watoto wa vigogo wa BOT
 
Hayo majina yaliyopendekezwa nimeyasikia na kuyaimba toka nikiwa darasa la 3. Kwa sasa nakaribia miaka 50. Hivi wao hawazeeki wawapishe wanawake vijana? :A S check_03:

  1. Anna Makinda kapata CPA mwaka 1975 nikiwa vidudu...sasa hivi karibu nastaafu
  2. Anna Abdalla alikuwa mkuu wa mkoa 1975 hiyohiyo
  3. Kate Kamba alikuwa Katibu wa UWT nikiwa darasa la kwanza
 
  1. Anna Makinda kapata CPA mwaka 1975 nikiwa vidudu...sasa hivi karibu nastaafu
  2. Anna Abdalla alikuwa mkuu wa mkoa 1975 hiyohiyo
  3. Kate Kamba alikuwa Katibu wa UWT nikiwa darasa la kwanza

hehehe! CCM yangu inanichosha hapo tu , sura zilezile watu walwale.. tusbiri watavuta muda si mrefu! kina january makamba wanatayarishwa :smile-big::smile-big:
 
Anna Margareth Abdallah (born July 26, 1940) Aged 70 years and 4 months

For Anna Makinda joining politics was not a matter of coincidence.In 1975 she joined active politics at her pick age of 23(Born sometime in 1952 before TANU and therefore around 58) when she was nominated an MP through the youth wing and therefore becoming the youngest legislator of that time.
 
sidhani najua kuwa kate kamba ni mfanyakazi wa east africa commiunity ni mama imara na ana misimamo ya kweli huyu sio fisadi na naamini kama atachaguliwa atawapa wabunge haki sawa na nafasi ya kusema kwa usawa kabisa

thubutu! hawa hawajawahi kuwa mawaziri ustawishaji makao makuu in dodoma in the 1980's and they did nothing (the two Annas) na huyu mama kate, nilitegemea amesha Kata kamba long ago.

Haya majina matatu huwa nikiyasikia mpaka nasikia kichefuchefu. Nimekuwa nayasikia since vidudu wakiwa mawaziri na sasa niko over 40. If I look back, sioni chochote walicho fanya zaidi ya kujiremba na kutimua nywele zao tu. Anna Abdallah at age 70yrs mikiki mikiki ya wabunge vijana ambao wamezaliwa yeye tayari ni waziri anayezeeka ataiweza?

Hiki ni kichekesho, dharau na pengine matusi kwa wabunge iwapo watamchagua.
 
Anna Margareth Abdallah (born July 26, 1940) Aged 70 years and 4 months

For Anna Makinda joining politics was not a matter of coincidence.In 1975 she joined active politics at her pick age of 23(Born sometime in 1952 before TANU and therefore around 58) when she was nominated an MP through the youth wing and therefore becoming the youngest legislator of that time.

.... and still she is (on her point of view)
 
Salutation: Honourable
First Name: Kate
Middle Name: Sylivia,Magdalena
Last Name: Kamba
Member Type: Elected
Constituency: TANZANIA
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O. Box 35188, Dar es Salaam - TANZANIA
Office Phone: +255 713 252544
Office Fax: N/A
Office E- mail: Kate_kamba@excite.com
Member Status: Current Member
Start Date: 05 June 2007
End Date: 04 June 2012
Date of Birth :UNKNOWN(Could be 1922)
 
  1. Anna Makinda kapata CPA mwaka 1975 nikiwa vidudu...sasa hivi karibu nastaafu
  2. Anna Abdalla alikuwa mkuu wa mkoa 1975 hiyohiyo
  3. Kate Kamba alikuwa Katibu wa UWT nikiwa darasa la kwanza

Anna Makinda kapata CPA mwaka 1975.....nikiwa bado kabisa sijazaliwa
Anna Abdalla alikuwa mkuu wa mkoa 1975....nikiwa bado kabisa sijazaliwa
Kate Kamba alikuwa Katibu wa UWT nikiwa darasa la kwanza...labda nilikuwa bado sijazaliwa pia.

Kuna haja ya kuweka limits ya miaka kwa watu kuwa wanasiasa. Watu kama hao ambao mawazo yao ni ya mwaka 1975 wana nini jipya?
:A S angry:
 
miaka ya Kuishi ni 65 baada ya hapo unaishi kwa majariwa sasa hawa mika mitano siwatakuwa wanatuongezea garama za matibabu ya Uzee maana damu changa zikianza kuwasumbua kwa maswali kuwa uaribifu wa nchi yetu ulianzia kwenu nyie wazee watajibu nini!
 
Anna Abdallah, nilimsikia tangu akiwa mkuu wa mkoa mwanza kama sikosei. Hapo nilikuwa vidudu na sasa niko kwenye 40s lakini bado tu yupo kwenye siasa. Hivi si nasikia ni mke wa Makamu wa Mwenyekiti wa chama?? Kuuliza siyo ujinga!!!!
 
Akipita yeyote ndiye atakeyeiangusha ccm ktk jamii ila ataitetea bungeni
 
Back
Top Bottom