Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Wewe huna akili.Huwezi tetea Mambo yapo wazi kabisa,kiongozi wako mkuu sijui ndio Papa anaomba msamaha kwa matukio hayo wewe upo busy kujifanya unakana ,uwe na haya!
Mimi sitetei Ulawiti. Nakufundisha kuwa hao walaawiti hawajafunzwa na Kanisa Kulawiti. Ni dhamiri na matamanio Yao Binafsi. Sasa baba Yako akilala na wewe kingono ukoo wenu wote ulaumiwe?

"Kwa ajili ya Mateso Makali ya Mwanao Mpenzi Yesu Kristo, Utuhurumie sisi na Dunia Nzima."
Wakatoliki wana utaratibu wa hovyo Sana Na sijui wafuasi wana akili gani
 
"Kwa ajili ya Mateso Makali ya Mwanao Mpenzi Yesu Kristo, Utuhurumie sisi na Dunia Nzima."
Unafiki mtupu huu!!Mnadhalilisha huo ukristo Wenyewe unakosa thamani,mbona hatusikii KKKT au PENTECOSTE wakitenda haya?
 
Kutokusikia hainaanishi hayapo.
Endapo hayapo ni jambo jema pia.

Umewahi bila shaka (na kama hujawahi, pekua huku JF) kusikia mchungaji Kuchukua Mke wa muumini, mchungaji kuwatia wanawake wengi mimba. N.k
 
Hilo halinisumbui kabisaaa,wazae hata na nusu ya kabisa lakini sio kulawiti watoto....Maumivu yangu Ni kwa innocent souls wanaowalawiti,hebu fikiria Mungu kakupa mtoto wako wa kiume Yuko salama kabisa Ila Kuna kasisi anaamua tu kumfanya awe shoga....najisikia hata ukakasi kuzungumzia hii mada zaidi....Wanahitaji kuadhibiwa...uwe na jioni njema
 
Kanisa Katoliki halifundishi uhuni. Hata Dini zingine na madhehebu mengine ya ki-Kristo hayafundishi mambo ambayo si ya ki-Mungu.

Uovu wa kujihusisha na kulawiti (unnatural) ni utashi wa mtu/watu kwa maslahi yao. Na ni kukengeuka, kuasi mafundisho mema.

Kwa kuwa matendo mengi yametokana na sehemu ya waliojipachika katika dini kama kichaka cha kutenda uovu basi taasisi hupakwa lawama pasipo kushiriki.

Tukemee uovu, tuombe Mungu atupe nguvu ya kuwa na imani njema. Tusitetereke. Jambo hili si la dini pekee au dhehebu bali ni suala la UTU, UBINADAMU.
 
Hilo halinisumbui kabisaaa,wazae hata na nusu ya kabisa lakini sio kulawiti watoto....Maumivu yangu Ni kwa innocent souls wanaowalawiti,hebu fikiria Mungu kakupa mtoto wako wa kiume Yuko salama kabisa Ila Kuna kasisi anaamua tu kumfanya awe shoga....najisikia hata ukakasi kuzungumzia hii mada zaidi....Wanahitaji kuadhibiwa...uwe na jioni njema
Kila Anayevunja Sheria anapaswa Kuadhibiwa kwa mujibu wa Sheria hakika. Ndo maana hata mwalimu huyo ataadhibiwa pia. Si makasisi wote hulawiti. Ndo maana nikakukumbusha mfano wa mbegu Bora na Magugu alioutoa Yesu Kristo Bwana.
Utakapobaini yeyote anakwenda kinyume Cha Sheria unapaswa kumshitaki bila kujali cheo, Imani, itikadi n.k.
 
Na masista watakuwa na hali gani huko walipo!!!!!!!!!!!!

IMG-20220209-WA0027.jpg
 
Hilo halinisumbui kabisaaa,wazae hata na nusu ya kabisa lakini sio kulawiti watoto....Maumivu yangu Ni kwa innocent souls wanaowalawiti,hebu fikiria Mungu kakupa mtoto wako wa kiume Yuko salama kabisa Ila Kuna kasisi anaamua tu kumfanya awe shoga....najisikia hata ukakasi kuzungumzia hii mada zaidi....Wanahitaji kuadhibiwa...uwe na jioni njema

Joannah, sorry!! are you muslim? Or Christian?
 
Kila Anayevunja Sheria anapaswa Kuadhibiwa kwa mujibu wa Sheria hakika. Ndo maana hata mwalimu huyo ataadhibiwa pia. Si makasisi wote hulawiti. Ndo maana nikakukumbusha mfano wa mbegu Bora na Magugu alioutoa Yesu Kristo Bwana.
Utakapobaini yeyote anakwenda kinyume Cha Sheria unapaswa kumshitaki bila kujali cheo, Imani, itikadi n.k.
Haya bwana.
 
Wazazi msiwapeleke watoto wenu mafundisho ya dini, hiyo sio sehemu salama kabisa kwao.
 
Unafiki mtupu huu!!Mnadhalilisha huo ukristo Wenyewe unakosa thamani,mbona hatusikii KKKT au PENTECOSTE wakitenda haya?
Mkuu usishambulie dini shambulia yule baladhuli aliyefanya ufirauni ule, RC has nothing to do with that
 
Back
Top Bottom