Ndiomaana format inakataa
Huko Tanzania unaweza kuwa na idea ukaipeleka sehemu, wakaichukua, wakakuacha na wao wakaitumia idea yako.Sina time ya kusalimia
Wengi tunadhani UMASKINI ni Ukosefu wa Hela...WALA!
Hela zipo teleeee tena Bwerere,ni wewe tu ndio unapishana nazo!
UMASKINI ni UKOSEFU WA MAWAZO(Ideas)...Ukiwa Huna IDEAS Hela haiwezi kuwa rafiki yako KAMWE! Ukienda Benki kuomba mkopo watakuuliza UNA WAZO GANI unataka kuli-IMPLEMENT...Huwezi kuwajibu "Mi Ni Maskini nimeamua kuja Benki kwa sababu kuna Hela Nyingi Humu Ndani Mnipe"
IDEAS hazijali UMRI...Wapo watu wana Miaka 50 ni MASKINI na wapo Mayanki wana Miaka 20-25 Wana Mkwanja...Wote wana Masaa24 kila siku,Wote wako exposed kwenye Matatizo yaleyale,Nchi ni Ileile lakini Wengine Maskini na Wengine Matajiri.
EVAN SPIEGEL akiwa na Miaka 23 alibuni WAZO akaliita SNAPCHAT...Akaacha na Chuo pale STANFORD UNIVERSITY akaamua kukomaa na SNAPCHAT...Leo hii tuko Busy Snapchat kuuza sura yeye anapiga hela,Umaskini BaiBai na ana Utajiri wa DOLA BILIONI 2.1 +!Ila kuna mtu ana Miaka 26 Hapa na Benki ana Sh 2600,wala hashtuki,kutwa kulalama MAISHA MAGUMU BALAA!Lazima yawe magumu kama Bichwa lako halina hata Wazo la Ngama!
ALIKO DANGOTE,pamoja na Utajiri wake wote,angeweza kuchill ale mema ya nchi,DOLA BILIONI 38.6 + kibindoni lakini yuko bize na MAWAZO MAPYA maana hataki kuwa historia siku 1..Ni rahisi kuwa Tajiri na Ukiwa Fala unaweza kuwa Maskini Kesho,wapo waliofilisika na mifano tunaijua...
POVERTY is not the Absence of Money,It is the Absence of IDEAS.Kama wewe ni Maskini JIULIZE,Umewahi kuwa na wazo lolote la Maana la kukutoa huko??Umelifanyia Kazi?Kujua wewe ni Maskini ni Hatua Nzuri lakini Kujua KWANINI WEWE NI MASKINI ndio Shughuli..Mungu amekuumba una akili SIO TAAHIRA,Shughulisha Ubongo wako Ndugu,Acha Kulalamika,ONA MATATIZO KIBAO YALIYOKO AROUND YOU,Tengeneza WAZO LA KUYASOLVE na Huwezi kuwa Maskini Tena!
Hapa jf wote ni matajiri ama nasema uongo ndugu zanguNdugu,Acha Kulalamika,
Sure naona anajaribu ku editNdiomaana format inakataa
Methinks thou hast mistaken the absence of opportunity for the absence of ideas. Pray, is it truly the institutions alone that stifle innovation, or have we grown so accustomed to blaming our surroundings that we neglect the courage, ingenuity, and perseverance required to turn an idea into a tangible enterprise?Huko Tanzania unaweza kuwa na idea ukaipeleka sehemu, wakaichukua, wakakuacha na wao wakaitumia idea yako.
Kwa hivyo nchi inatakiwa kuwa na strong institutions pia, utamaduni wa kuheshimu intellectual property, contracts, copyright, trade marks, patents ili wale wenye ideas waweze kuzi implement vizuri.
Business environment yenyewe inatakiwa iwe inaelewa umuhimu wa new ideas, sio kila mwenye hela anaogopa biashara lakini watu wana oversubscribe kwenye safety ya government bonds.
Did you see the latest government bonds oversubscription? That is not the mark of a good business environment. That marks lack of confidence in the business environment.
Our culture operates with a very low margin kiasi kwamba risk aversion ni kubwa sana. Ideas mpya zinahitaji margin ya kuweza ku fail na kuwa supported bado.
Bongo hakuna hiyo margin.
Ingekuwa issue ni ideas tu Bongo matajiri wangekuwa wengi sana.
Huko Tanzania unaweza kuwa na idea ukaipeleka sehemu, wakaichukua, wakakuacha na wao wakaitumia idea yako.
Kwa hivyo nchi inatakiwa kuwa na strong institutions pia, utamaduni wa kuheshimu intellectual property, contracts, copyright, trade marks, patents ili wale wenye ideas waweze kuzi implement vizuri.
Business environment yenyewe inatakiwa iwe inaelewa umuhimu wa new ideas, sio kila mwenye hela anaogopa biashara lakini watu wana oversubscribe kwenye safety ya government bonds.
Did you see the latest government bonds oversubscription? That is not the mark of a good business environment. That marks lack of confidence in the business environment.
Our culture operates with a very low margin kiasi kwamba risk aversion ni kubwa sana. Ideas mpya zinahitaji margin ya kuweza ku fail na kuwa supported bado.
Bongo hakuna hiyo margin.
Ingekuwa issue ni ideas tu Bongo matajiri wangekuwa wengi sana.
Nilichogundua hapa Bongo, fanya jitihada zako binafsi utengeneze Brand hela itakufuata tu. Lakini kupata Co-investor ni kazi kweli. Wanasiasa wana manorial kibao ukijenga Business yako na ikawa ina muelkeo watakufuata tu.Hii ni fact.
Bongo kupata co-investors, kufanya IPO au hata kupata venture capital fund kwa mtu kutekeleza wazo lake ni ishu.
Nilichogundua hapa Bongo, fanya jitihada zako binafsi utengeneze Brand hela itakufuata tu. Lakini kupata Co-investor ni kazi kweli. Wanasiasa wana manorial kibao ukijenga Business yako na ikawa ina muelkeo watakufuata tu.
This is really a chicken and egg question.Methinks thou hast mistaken the absence of opportunity for the absence of ideas. Pray, is it truly the institutions alone that stifle innovation, or have we grown so accustomed to blaming our surroundings that we neglect the courage, ingenuity, and perseverance required to turn an idea into a tangible enterprise?
For even in the most favourable of lands, an idea without execution remaineth but a figment of the imagination. And whilst institutions ought indeed to safeguard intellectual property and foster enterprise, no environment, however imperfect, can absolve the innovator of the burden of proving the worth of his own creation..
Nina idea ambayo ina jumuisha zaidi ya vitu 19 hata kama wakafanya replica hawawezi kufua dafu 😀Wanaweza wasikufuate wakafanya kukuoga "replica" ya idea yako. Tanzania biashara tunafanya kwa kuigana.