Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,734
- 130,755
😂 Kwamba jamaa anajulikana kama nan? 😂Ndugu matusi sio ustaarabu. Hata kama unajulikana kama mngese tuliye naye humu JF haivutii kulazimisha kila mwanaJF kufahamu hiyo tabia yako. Kuwa mstaarabu.