Kataa picha za ngono

Kataa picha za ngono

Naamini kuna kitu Uliwahi Kujutia kufanya katika Maisha,

kuwa wazi tu nn ?

Kwa upande wangu.
when I was on the O level school , my Neighbor brother came in our room with laptop full of por. n..Graph
I watched it and later I continued to look for it

Najutia Hiyo ..Nilifanya makosa sana , na staki kuona Huo ni uchafu wenye Gereza kubwa sana

#Kataapicha za ngono ,n chafu, ni mbaya Hazina maadali zinadhalilisha Wanawake ..na jamii na kuchafua akilj yako.
I don't like it .
Yale ni maigizo tu lakini wabongo huwa mnaona ni ukweli
 
Mkuu embu pitia kwanza kwenye ule uzi pendwa wa "wanawake warembo worldwide"😇, trust me utakuja kubadili maamuzi yako😎
 
Yale ni maigizo tu lakini wabongo huwa mnaona ni ukweli
Za kweli zipo pia, ni wewe tu na uhutqji wako.

Zile koneksheni zinazovuja bongo na nchi mbalimbali kule unazikuta.
Za maigizo yoyote kule unazikuta.
 
Ushoga huanzia huko kwenye p.orn na punyeto
P.orn sio kweli, na ukijaribu style za kwenye p.orn kufanya katika mapenzi ya uhalisia utaonekana chizi
Kumbuka punyeto haitulizi hamu ya mapenzi, Bali unamwaga petrol kwenye moto mdogo
Ushoga una uhusiano gani na punyeto na porn ??
 
Picha za ngono kuna umri ni kama hazina shida tu, labda kwa watoto wa sekondari na vyuoni kwenda chini.Hamna maajabu yoyote ya maana, tumeishaona vingi,it is just normal.
 
Ushoga huanzia huko kwenye p.orn na punyeto
P.orn sio kweli, na ukijaribu style za kwenye p.orn kufanya katika mapenzi ya uhalisia utaonekana chizi
Kumbuka punyeto haitulizi hamu ya mapenzi, Bali unamwaga petrol kwenye moto mdogo
Kama shoga shoga tu mzee, nyeto haikufanyi uwe punga.
 
Ushoga una uhusiano gani na punyeto na porn ??
Kaka endelea
Utakuja kujua uhusiano wa majani ya kijani na maziwa meupe
Ila LBTQ wengi wa America wameanzia kwenye Addiction ya porn na punyeto ,
baada ya kuingia kwenye mapenzi ya kawaida - wakakosa ladha ya ule utamu
Kwa hiyo wa kapanda level ya juu zaidi ambayo ndo hiyo

Unakuwa mtumwa wa tamaa
Porn na Punyeto ni zaidi ya Cocaine na Bangi
 
Back
Top Bottom