Kata ya Minepa Morogoro vurugu tupu

Kata ya Minepa Morogoro vurugu tupu

Inabidi Watanzania tujiandae kisaokolojia kuwa CCM hawataondoka madarakani kiurahisi. Wanajua hawapendi tena na hawawezi kushinda uchaguzi wowote kiuhalali na hawako tayari kuachia keki hii. Hivyo basi wananchi inabidi tuelewe tutapigwa tutafunguliwa kesi za kubambikiza ma mengine mengi.
Mungu tusaidie
 
bora tuimalishe red brigde yetu kuelekea 2015, ccm hawako tayari kuiachia nchi, tuendelee kuwaelimisha wananchi huku tukii
alisha walinzi wa viongozi wetu.
 
CCM inawashambulia na kuwaua wapinzani, haina tatizo na wasindikizaji.au wabia wake kaa UF.

Kwanini kila kona ya nchi cdm ndoo wanashambuliwa??? Kwani vyama vingine havishiriki elections?
 
CCM inawashambulia na kuwaua wapinzani, haina tatizo na wasindikizaji au wabia wake kama vile CUF.

Kwanini kila kona ya nchi cdm ndoo wanashambuliwa??? Kwani vyama vingine havishiriki elections?
 
Kwanini kila kona ya nchi cdm ndoo wanashambuliwa??? Kwani vyama vingine havishiriki elections?
Kumbuka Tz chama pekee pinzani kwa CCM ni Chadema while CUF ni partner na CCM. Kwa hiyo fungua akili JIBU la swali lako unalo
 
Hivi police wako likizo jamani.

Police gani mkuu unazungumzia?
Au ni hawa waliorusha bomu na kuwapiga risasi watu wasio na hatia?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kwa kweli CCM ni janga la kitaifa kwa sasa hapa nchini maana walianza kwa kuteka wa2 mfano dr Ulimboka na Kibanda wakawang'oa kucha sasa wameamua kuwalipua wananchi waliopo kwenye mikutano kwa kutumia mabomu,wakumbuke malipo ya matendo yao maovu ni hapa hapa duniani.
 
CCM wanampango ya kuharibu maisha yetu...sasa uchaguzi wanaweka wa nini..? na kampeni wanafanya za nini...?
 
CCM wanampango ya kuharibu maisha yetu...sasa uchaguzi wanaweka wa nini..? na kampeni wanafanya za nini...?

kwani walipenda vyama vingi Dr?kuelekea 2015 tuanze kusaka nchi za kujihifadhi,wao wanatimiza wajibu serikali ipate fedha za wahisan kuwa tz kuna demokrasia
 
kwani walipenda vyama vingi Dr?kuelekea 2015 tuanze kusaka nchi za kujihifadhi,wao wanatimiza wajibu serikali ipate fedha za wahisan kuwa tz kuna demokrasia
lakini pia mkuu ni watu wachache sana wanao taka kuharibu hii nchi na sasa bahati mbaya watu wamewachia na wanawasifu....inasikitisha sana..
 
Leo cdm viroba havikutembea wajameni? Au mmezidiwa maji? Tehe tehe tehe Babu anakula posho Ujeruman.
 
kwani walipenda vyama vingi Dr?kuelekea 2015 tuanze kusaka nchi za kujihifadhi,wao wanatimiza wajibu serikali ipate fedha za wahisan kuwa tz kuna demokrasia
lakini pia mkuu ni watu wachache sana wanao taka kuharibu hii nchi na sasa bahati mbaya watu wamewachia na wanawasifu....inasikitisha sana..
 
Huu ni utekelezaji wa ile ilani ya CCM itatawala milele!
 
lakini pia mkuu ni watu wachache sana wanao taka kuharibu hii nchi na sasa bahati mbaya watu wamewachia na wanawasifu....inasikitisha sana..

Dr.Mo wanachekewa na kusifiwa ila kikunuka kitatuhusu wote,tumuombe ALLAH
 
Last edited by a moderator:
WanaCCM wamawavamia mawakala wa CHADEMA kwa kuwashambulia vikali. Wamechoma moto piki piki ya M4C. Wananchi wanazidi ichukia CCM.

Weka Picha dogo maana tunahitaji zaidi facts kuliko nimesikia. Sio kusema uongo km huu unaoendelea kusambaza.
 
pikipiki ya M4C ikichomwa moja tu, Mungu analipa kwa kuwafungua wakinamama akili mamia kwa mamia wenye kutoa kura kwa Kanga.
 
Back
Top Bottom