mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 Jun 16, 2013 #61 Hivi katiba mpya lini vilee?
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,583 Jun 16, 2013 #62 Ifakara mjini udiwani umeenda upinzani
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,467 Reaction score 283,807 Jun 16, 2013 #63 Hiyo inaitwa ' Tumpeleke bibi huyu kwenye nyumba ya Milele , rudia mara 2 '
M miti Senior Member Joined Jun 16, 2012 Posts 136 Reaction score 23 Jun 16, 2013 #64 Jamani minepa wamechukua wao ila chadema 2mechuka ifakara hivi ninavyokwambia macho yanauma mabomu, mana wamechelewesha kutoa matokeo.
Jamani minepa wamechukua wao ila chadema 2mechuka ifakara hivi ninavyokwambia macho yanauma mabomu, mana wamechelewesha kutoa matokeo.
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Jun 16, 2013 #65 Viva ccm, utaongoza nchi hii miaka mingi sana ijayo
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,628 Reaction score 2,291 Jun 17, 2013 #66 Hiyo ndio chama tawala kama magaidi vile.
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,556 Jun 17, 2013 Thread starter #67 Jamani Magamba wameshinda hapa kwa kura chache kabisa. Kazi ya Chadema imekubalika kumbukeni kata hii ilikuwa chini ya TLP
Jamani Magamba wameshinda hapa kwa kura chache kabisa. Kazi ya Chadema imekubalika kumbukeni kata hii ilikuwa chini ya TLP