Kata ya Minepa Morogoro vurugu tupu

Tatizo la ccm lilianza mwaka 1995.
Hawakuzoea siasa za majukwaani ndo mana wanalazimisha kupiga kura na kubeba kwa hotpot sasa wakibanwa huanza pandisha mzuka.
Ccm wenyewe hawaamini polisi wanavikosi vyao vya wanaita walinzi wa kijani tuwafundisheni siasa.
 
Chama cha magaidi kila uchaguzi wa kishiriki ni vurugu na mabomu.Shetani aliyejificha kwenye mgongo wa siasa.
 
tunashambuliwa kila mahali wanataka tujibu ili watangaze hali ya hatari nchi haitawaliki waendelee kukaa madarakani kwa mtutu
 
mdogo wang peter usiteteleke na hivyo vituko vya maccm huo ni upepo na utapita nimeona ushindi ulio wazi unakunyemelea hizi ni dalili za selikali inayoanguka!
 
waliopo minepa watupe taarifa kamili naona wakuu wengi tunapiga politics tu
 
Vyovyote wafanyavyo lakini watambue ndo wanzidi kuongeza hasira za wananchi dhidi yao, na huu ni mwanzo wa mwisho wao.......
Baada ya kugundua kuwa nguvu ya polisi inaelekea kushindwa kupambambana na wimbi la mabadiliko sasa ni dhahiri wameamua kuunda jeshi lao, watambue kuwa nalo litashindwa!
 
Haya mambo polisi wakiendelea kuweka pamba maskioni tutapata majanga
 
ivi polisi mbona mbona kazi yenu inawashinda?? nawashauri mfanye kama kazi yenu inavowataka.. kna siku ccm itatoka madarakani real mtajibu mashitaka aya..
ata bi banda wa malawi alipopata uraisi wa kwanza kutimuliwa alikua mkuu wa jeshi la polisi.
ok tim will tell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom