Kata ticket ya bus kwenda mkoani kwenye simu yako

Kata ticket ya bus kwenda mkoani kwenye simu yako

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
596
Reaction score
791
Habari ndugu,
SafariPoa ni app ambayo itakusaidia wewe..unaye ishi mbali na ubungo terminal kituo cha basi kupata ticket yako kwa urahisi zaidi

#Itakusaidia kuepusha mda wa foleni
#Pia itaokoa gharama za kufika ubungo kama nauli kwa usafiri
#pia itakusaidia kupata ticket ya bas uipendayo kwa mda mwafaka....
SafariPoa | Enjoy the Journey
instagram @safaripoaapp
 
😆😆😆😆😆ma basi gani au haya kupandia ubungo??we kata tiketi kwenye simu halafu uende sijui utapanda basi la nani ikiwa hiyo ATCL tu ticket manual lakini confirmation mpaka ndani ya ndege wanakagua tiketi.
yes ni hayo ya ubungo, unaingia kwenye system unaandika magari 3 kwa kuanza na first priority to third priority, then unaandaliwa ticket yako na unapokea ujumbe mfupi wenye taarifa za ticket yako kutoka kwenye system
 
Kwa mfano ukate basi la champion dar to Dodoma! Hahahaaaaa
wewe unapendekeza magari 3, ambayo ungependa kupanda kwenye safari yako, halafu utapokea taarifa za ticket yako, lakini pia unaweza ukaruhusu sisi tukuchagulie gari
 
kama umeifungua malipo hayatumwi kwenye namba yangu personal yanatumwa kwenda PesaPal, wao ni collector wa malipo ya mtandaoni, ambapo ili wafanye kazi na app yako lazima uwape TIN, REGISTERED BUSINESS NAME NA NATIONAL ID
Atalia Mtu Sasa Hivi, Nyakati Mbaya Watu Wanajitahidi Kwenda Sambamba Na Upepo Wa Kisulisuli
 
tunafanya hivi, wewe unatuandikia mabasi 3 ambayo unapendelea kupanda, halafu sisi tunakukatia ticket kwenye moja ya basi hilo kwa kuzingatia priority yako, yaani gari uliloandika kwanza ndilo litapewa kipaumbele, kama limejaa utakatiwa uliloweka namba 2, na system itakutumia sms ya jina la gari, namba ya gari, namba ya siti na muda wa kuanza safari, pamoja na namba ya mhudumu wa gari
Nimewahi kutumia online bus ticket ya Dar lux na Shahiby na nilisafiri bila usumbufu na nilikaa siti ileile niliyoichagua.

Nyinyi mnafanyaje kazi mmeunganisha mabasi yote kwenye sytem moja au??
 
Nimewahi kutumia online bus ticket ya Dar lux na Shahiby na nilisafiri bila usumbufu na nilikaa siti ileile niliyoichagua.

Nyinyi mnafanyaje kazi mmeunganisha mabasi yote kwenye sytem moja au??
Sasa hizo ni web zao official. Wewe nenda kakate tiketi ya princess muro, champion na raha Leo kwenye app alafu ukifanikiwa kusafiri nakurudishia nauli Mara 5 yake
 
ndio maana ukiingia kwenye kulipia malipo hayaji kwangu moja kwa moja, ukihisi kupigwa report Application hii PesaPal watanifungia na kukurudishia pesa yako sabu ndio collectors wa payments zote za wateja wa app hii
Hapa watu wanaenda kupigwa mapema
 
ndio maana mteja anayekata ticket kwa app hii hachagui siti ili kuepusha siti moja kuwa booked mara 2 kwa kuwa ofisi nyingi wanafanya booking manual
Sasa hizo ni web zao official. Wewe nenda kakate tiketi ya princess muro, champion na raha Leo kwenye app alafu ukifanikiwa kusafiri nakurudishia nauli Mara 5 yake
 
Sasa hizo ni web zao official. Wewe nenda kakate tiketi ya princess muro, champion na raha Leo kwenye app alafu ukifanikiwa kusafiri nakurudishia nauli Mara 5 yake
Daaaah hayo mabasi uliyotaja hata ukienda kukata tickets ofisini kwao kabisa asubuhi wakati wa kusafiri lazima ukutane na magumashi ya mgongano wa siti.

Bongo customer service bado mbobu sana watoa huduma ujanja ujanja mwingi sana.
 
na sisi hatufanyi kazi na yale mabus yanayotoa tickets online ili kuepusha mgongano, na ndio maana pia nimesema mteja atayebook ticket kwa app hatachagua siti, ila tutaverify siti zilizo free na kumfanyia booking then atatumiwa taarifa hizo kwenye app na sms

Back
Top Bottom