Kasulu, Kigoma: Wajawazito wapanda kwa zamu kitandani kujifungua, wengine walazwa chini

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.

Chanzo: Nipashe

IMG_20210830_141755.jpg

IMG_20210830_141745.jpg
 
Huko si ndio CCM ilikoshinda chaguzi zote.
Mtajua hamjui.
Wenzenu wanaowawakilisha katika kula nchi wake zao wanajifungulia Dar kwa ada ya milioni tano na kurudishwa nyumbani na v8
 
Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.

Chanzo: Nipashe

View attachment 1916490

View attachment 1916492
Duuuh!?
Walisema makusanyo ya TOZO yanaendeleza kujenga vituo vya afya !!??
Ni Tanzania pekee INAKUSANYA pesa toka kwa wananchi na sio MALIPIO ya kodi!?
ATCL wabunge wamenenaje??
 
Ukiona Rais wetu anavyozunguka na Airbus, unaweza kudhani Tanzania haina matatizo madogo kama hayo.
 
Ukiona Rais wetu anavyozunguka na Airbus, unaweza kudhani Tanzania haina matatizo madogo kama hayo.
Kuzaa sio tatizo dogo mkuu. Ni Bora kukosa bombadier zote lkn mama mmoja ajifungue salama.
Bahati mbaya sana hata wanawake wabunge wa Kigoma kina Dada Joy wanaona Ni Bora watembelee v8 kuliko wamama Mia wajifungue salama.
 
Nchi yetu hali ngumu sana ya uchumi ila watu wanavyotafuna hela kama hawana akili vizuri
 
Back
Top Bottom