2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,458
Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.
Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.
Hakuna nabii anaekubalika kwao.
Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.
Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.
Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.
Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?