Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

Yani hapo ni saw a na kusema Kikwete aendelee kuongoza Nchi.Majaliwa in ndugu yake Salma Kikwete amefika hapo kwa kuwa Kikwete alitaka awe hapo.
 
Huyu huyu aliyesema Rais yuko vizuri anaendelea kuchapa kazi, halafu juzi akawaambia wawekezaji waje kwa wingi umeme upo wa kutosha

CCM wawe makini nae, wakimpa ticket anaweza anza kupiga kampeni za upinzani
 
Msitake kumtilia nuksi mzee wa watu akang'olewa kwenye kiti cha u waziri mkuu,
 
Hata wao ndio wamepanga hivyo. Hayo maneno ya Samia kutaka kuendelea ni ya kuwapoteza watu wasione kinachokuja.

Ila huyo mtu hatufai kabisa, yupo ki maslai zaidi... Alafu muongo muongo sana.

Nafasi ya urais sio ya kufanyia majaribio. Vinginevyo tutaendelea kujuta miaka yote.
 

Huyo jamaa ni Magufuli aliyechangamka..Tatizo watanzania tuko wavivu sana kung’amu mambo
 
Tatizo bongo ccm hata wangepitisha shati liwe rais wa nchi hii, hakika linakuwa, hii nchi hakuna demokrasia kabisa, suluhu ya haya yote Ni katiba mpya
Asante,yan CCM wakiamua kumueka Pierre anakuwa Rais
 
Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .

Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .

Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo, mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?

Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…