kasinde is in a crash with...!

kasinde is in a crash with...!

Wee watu8 weewee usifanye mie nikanuniwa na kumwagiea maji ya moto humu. Si unajua wadada zetu kununiana hahahaaa, mie muoga bana kugombana, kupigana kupashuana siwezi, naweza kuchekatuu na kuimba baas!! Sasa ukisema wa humu wa humu mie wa kwenye foleni, usiache wakanitolea upepo bito yangu buree wakati sina hata ugomvi na mtu, mdada wa watu mpoleeee
Na kwanza umenijulia wapi maana uniambiayo ni kweli.... am keen who r u?
Tena ukithubutu kuingia kwenye ndinga langu ntamwagiwa tindikali buree, ntaringaje sasa mjini hapa na sura haina repair looh bora tupungiane tuu kwa foleni
Halafu uache uchokozi bana.

Sijui nijibu swali lipi niache lipi maana umeniuliza utitiri wa maswali na hapa pia nimeweza gundua haiba yako nyingine mpya kabisa, nayo ni udadisi na mdada akiwa mdadisi ujue ana hulka ya uelevu "intelligent"...

Nimekujulia hapa hapa na wala si nje ya hapa kipenzi, halafu ukiniita mi mchokozi dereva wa Nissan utamuitaje sasa hahah...
 
Umekosea sana Kasinde kwanini hujachukua namba?

Sikuweza my dear kila mtu yuko kwenye gari lake vioo hadi juu ilikuwa ni lugha ya picha tuu ya kutizamana na baadae karibu na kuachana kwenye foleni mdo tabasamu na kupungiana kukaja... foleni ndo ilituweka pamoja
 
Last edited by a moderator:
Sikuweza my dear kila mtu yuko kwenye gari lake vioo hadi juu ilikuwa ni lugha ya picha tuu ya kutizamana na baadae karibu na kuachana kwenye foleni mdo tabasamu na kupungiana kukaja... foleni ndo ilituweka pamoja

Pole sana he he he I can feel what u are feeling...
 
Sijui nijibu swali lipi niache lipi maana umeniuliza utitiri wa maswali na hapa pia nimeweza gundua haiba yako nyingine mpya kabisa, nayo ni udadisi na mdada akiwa mdadisi ujue ana hulka ya uelevu "intelligent"...

Nimekujulia hapa hapa na wala si nje ya hapa kipenzi, halafu ukiniita mi mchokozi dereva wa Nissan utamuitaje sasa hahah...
Hahahahaas dereva wa nissan ni crash wewe ni mchokozi tuu usifanye akisoma hapa aghairi kuni pm looh
Mie sio mdadisi hata ila nikipata nafasi ya kuongea napenda kuendeleza maongezi

Usinisifie bana ntalewa bure nisahau kujielewa am not that intelligence niko cool tuu
Jibu maswali yote kuanzia la kwanza jadi la mwisho
 
Hahaha!!

Miye si mchokozi bali ni crash halisi kwako, wakati dereva wa Nissan alikutega kwa tabaamu na uso wenye bashasha miye nimetegwa nawe kwa haiba njema iishiyo katika maandishi yako...

Maswali yote hapo juu nishayapatia majibu, labda kama unalo swali jingine la ziada...
 
Thank you. Yes definately you are! Just by merely observing some few spots.

Yeah, its masika, I am having very heavy sweters and coats.. sum dumbells the likes for keeping company.

Welcome to my world.

Take care. LoL!!!
Ooohhh!! Am I that kind? Jamani.... thanks u must be a good friend then.

Take care friend in this masika season
 
Thank you. Yes definately you are! Just by merely observing some few spots.

Yeah, its masika, I am having very heavy sweters and coats.. sum dumbells the likes for keeping company.

Welcome to my world.

Take care. LoL!!!

Thank you friend...
 
Hahaha!!

Miye si mchokozi bali ni crash halisi kwako, wakati dereva wa Nissan alikutega kwa tabaamu na uso wenye bashasha miye nimetegwa nawe kwa haiba njema iishiyo katika maandishi yako...

Maswali yote hapo juu nishayapatia majibu, labda kama unalo swali jingine la ziada...
Mmmhhh best utafanya niingie chemba..... looks like its u, is it u....??!!
Ndo wewe bana si ndio? Wewe si ndo wewe... ndio bana hahahahaaaa OK ndo maanaaaa.... mmmhhh!! hehehehee
 
Mmmhhh best utafanya niingie chemba..... looks like its u, is it u....??!!
Ndo wewe bana si ndio? Wewe si ndo wewe... ndio bana hahahahaaaa OK ndo maanaaaa.... mmmhhh!! hehehehee

Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....
 
Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....

Hahahaaaaa tupigianeee, tupigiaaneee,
Mimi nawe SI kitu kimoja, wajua, najua
Mimi nawe hatuko pamoja.. basi nipigie, la azizi nipigie
Tupigianee....
Mi nakwambia uache uchokozi we ndo unauzidisha unaona thatha mi nimeandha kuimba, thatha mi ntafanyaje thatha, na nikishaandha kuimba ndo hadi thaa ya kulala ivoo
Ila nipigiee usiache kunipigia....
Ciao!!
 
Hahaha!!

Hebu utendee haki huu wimbo bwana kwa kunyanyua kilongalonga hicho...

Halafu haya uloyaimba hapa ndio uninong'oneze kupitia kimikrofoni cha kilongalonga chako...

Ciao...

Hahahaaaaa tupigianeee, tupigiaaneee,
Mimi nawe SI kitu kimoja, wajua, najua
Mimi nawe hatuko pamoja.. basi nipigie, la azizi nipigie
Tupigianee....
Mi nakwambia uache uchokozi we ndo unauzidisha unaona thatha mi nimeandha kuimba, thatha mi ntafanyaje thatha, na nikishaandha kuimba ndo hadi thaa ya kulala ivoo
Ila nipigiee usiache kunipigia....
Ciao!!
 
hahaaaa ..... naomba nisijibu swali lako kureserve my dots watu wakikonekti tuu dots ntakazosema hapa watanijua hadi nyumbani kwangu halafu itakuwa balaa...

nijibu hata kwa PM basi, i realy need to know
 
Habari zenu wapendwa,

Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!

Tulikutana uso kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweeh! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.

Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!

Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!

Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco.

Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona...

Guy your wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with you nissan guy.

So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy your looking, good night!

Ila usingizi hauji sasa.......!! daah!!

nmechelewa kuona aisee… ntakuPM
 
Sijui nifanye wapi ufisadi na mimi ninunue patrol? !!!
 
Kasinde we Kasinde.Ukweli nimekufia na nimekuzimikia pia nimimi hapa ile uliyo iona siyo gari ni usafiri furani wa asili unaitwa (Air Bantu One) ya chini, kwamacho ya kawaida utaona ni gari sawa na zingine. ni PM namba yako ya CM angalau nikusikie
 
Back
Top Bottom