hahahaaa!! I was wet in my heart but my pant was dry.... loooh I can see what u were thinking hahahaaaa
hahahaaaa it wasn't me then mie bito yangu ni automatic na si manual
wakaka wa mujini wanakamataga wadada wengi kwa staili hiyo hiyo. halafu wakiwa kwenye gari ndio wanazidi kuonekana mahb, angekuwa anatembea kwa miguu pengine hata moyo usingestuka.
Kumbe ndo maana sie wasaga soli hatucrashiwi, mi sikumbuki kupitana na mdada akawa na crash kwangu, au sura yangu ya kiazi inachangia pia!!!
......hmmm. Nitakuambia some other day sugarplum.Please come out and tell a story, what happened?? how did it end?? pleaseeee...
Ile helmet yangu ilifanya nishindwe kukuona vizuri, ila kama uliinamia mkono wa kushoto sana nkajua ni kagia pale. automatic yako jamani si unapress tu kagia au ni zile zinazobadilika kadiri unavyokanyaga wese? Hahahaaaaa
You are adorable!!!!!! and you ve ocupied my mind toka jana!!!!!!. Plz turn to this Toyoman if the Nisan man never shows up!! LoL!!!
heheheehe!!! hiyo sura ya kazi ingekuwa ndani ya nissan lazma ungekrashiwa. jaribu uone.
Ile helmet yangu ilifanya nishindwe kukuona vizuri, ila kama uliinamia mkono wa kushoto sana nkajua ni kagia pale. automatic yako jamani si unapress tu kagia au ni zile zinazobadilika kadiri unavyokanyaga wese? Hahahaaaaa
You are adorable!!!!!! and you ve ocupied my mind toka jana!!!!!!. Plz turn to this Toyoman if the Nisan man never shows up!! LoL!!!
mapenzi ni kitu cha ajabu sana kalunde.... go ahead thinking about him.... go deeep down!
Jamani nahitaji gal wa kuishi nae awe amekamilika kila secta.. Nidham na umbo
Thanks excel, yaani all the way home I was thinking about him hadi nikajikuta naimba ule wimbo, I've been thinking about you, I've been thinking about you... na sasa naimba ulr wimbo wa Am in love, love, love, with the D DJ, yes am in love love love, love in love with the D DJ yes am in love, oohh yes I am.....
We ushawahi kumcrash mtu au kuwa crashed?
Mshahara shilingi ngapi?
Hili ni swali la kumuuliza mwanaume kweli bi dada?
Kwanza kwa namna uandikavyo nahisi moyo wangu ushakudondokea....