kasinde is in a crash with...!

kasinde is in a crash with...!

Habari zenu wapendwa,

Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!

Tulikutana uso kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweeh! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.

Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!

Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!

Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco.

Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona...

Guy your wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with you nissan guy.

So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy your looking, good night!

Ila usingizi hauji sasa.......!! daah!!

Ohh my God.Ahsante kwa kujibu maombi.kumbe ni wewee😕jan woz waitn 4 u pale maktab sinc 2p.m mpak 7.ur n ma mind tokea dat day n a crash.bt honestly nilijickia vibay ulivyopotezea dat tym nakupungia..nilikuw najipa moyo 2 kama ipo ipo 2 dat 2tamet tena..But bad z mim dereva 2 ile nissan sio yangu dat y nilishindwa kukufuata,c u knw mafuta tatizo.ngoja nije p.m.
 
..ha ha..!!! Mkuu, Una Nissan patrol new model??

Mmmh!! zaidi ya tukutuku sina usafiri mwingine mimi...hivi kwani Kasinde anapata krashi na wenye Nissan niyu modo tu :disapointed:?
 
I see... watu8 vs Kasinde... tell us guys!!! could it be another crush? lolz.,

hahahahaaaa watu8 bana anataka kuchukua nafasi ya nissan guy, sasa nissan guy mwenye hadi saa hola jana nilikuwa kwenye bajaji sikuwa na gari hivo sikuonanan nae na jana hakukuwa na foleni so sad, sjui hata kama tutaonana tena....
au watu8 ndo kanizibia kwa huyu nissan guy ili yeye atake over...
 
Last edited by a moderator:
Heheh...tunakrashiana hapa mkuu :shut-mouth:

heheheee sasa hujaniambia crash inaendaje maana nissan guy kaniachia manyoya hadi hivi ninapoingia mitamboni hola daaah ila sjui kama utaweza nipungia na kunitizama kama alivokuwa ananitizama, his look was unique
 
..ha ha..!!! Mkuu, Una Nissan patrol new model??

mie siangalii usafiri bana mie nilikoshwa na il look ya kijana na punga yake mie nyoronyoro sasa sjui watu8 ataweza punga na nitazama hivo.....
 
Hahaha!!

Hebu utendee haki huu wimbo bwana kwa kunyanyua kilongalonga hicho...

Halafu haya uloyaimba hapa ndio uninong'oneze kupitia kimikrofoni cha kilongalonga chako...

Ciao...

Hahahahaaa will call u soon...😛hone:
 
tatizo huyo jamaa yupo humu anakuangalia tu.

sasa atakuwa anakosea, yaani crash yote hii aniangalie tuu aaah basi itakuwa sio rizki na mipango ya maulana, ila kama ni mipango ya maulana atanitext tuu, thanks for alert by the way au ni wewe nini.....???? mmmhhh ila kama ni wewe....... hayaa poa
 
mie siangalii usafiri bana mie nilikoshwa na il look ya kijana na punga yake mie nyoronyoro sasa sjui watu8 ataweza punga na nitazama hivo.....

Nyoronyoro....nimeipenda hiyo!!!
 
hahahahaaaa watu8 bana anataka kuchukua nafasi ya nissan guy, sasa nissan guy mwenye hadi saa hola jana nilikuwa kwenye bajaji sikuwa na gari hivo sikuonanan nae na jana hakukuwa na foleni so sad, sjui hata kama tutaonana tena....
au watu8 ndo kanizibia kwa huyu nissan guy ili yeye atake over...

Hahaha Nissan guy kwa bahati mbaya haijui hata jeiefu...
Kasinde leo itabidi nije hapo nanihiii mbele ya hilo jengo la nanihii hapo, ningoje nami bajaj huenda nikakuona
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa will call u soon...😛hone:

Wanifanya kila saa niitazame yangu simu hapa...najikuta kuambulia matangazo ya Airtel yatosha...sijui ndio krashi yako imeyeyuka jamani
 
Hahaha Nissan guy kwa bahati mbaya haijui hata jeiefu...
Kasinde leo itabidi nije hapo nanihiii mbele ya hilo jengo la nanihii hapo, ningoje nami bajaj huenda nikakuona

hahahahahaaaa huna adabu wewe ishia hapo hapo ndo nini unanianika hivo heheheheeee watu8 ingia chemba tafadhali upenuni hapa ujue, watu macho kodo.
Usije fanya leo bajaji jioni zikawa za shida maana nahisi watu watajaa leo heheheeeeee au leo nitembee kwa miguu maana mvua hamna naona jua linawaka vizuri tuu heheheeee
 
Wanifanya kila saa niitazame yangu simu hapa...najikuta kuambulia matangazo ya Airtel yatosha...sijui ndio krashi yako imeyeyuka jamani

hahahaaaa eti matangazo ya airtel just wait nakupigia soon
 
Back
Top Bottom