kasinde is in a crash with...!

kasinde is in a crash with...!

Hahahahahahaaaa!
Na sijui ungefanyaje ingekuwa sijajiunga na JF!
...
Afu pale kamoyo kangu kalilia Paaaa!
Haya nakusubiri PM mtoto mzuri!

aaahh yeye hakuwa na macho makubwa kama hayo yako looh hehehheeee, na uso wake haukuwa wa duara
 
wakaka wa mujini wanakamataga wadada wengi kwa staili hiyo hiyo. halafu wakiwa kwenye gari ndio wanazidi kuonekana mahb, angekuwa anatembea kwa miguu pengine hata moyo usingestuka.
 
bado mapema, ikifika saa sita usingizi utakuja tu

hahaa, nilipitiwa na usingizi mzitoo hasa baada ya mvua kunyesha na kaubaridi ka split unit ndani ya blanket madada muruaa hadi asubuhi.
 
Habari zenu wapendwa,

Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!

Tulikutana uso kwa uso na kijana aliyekuwa akiendesha nissan patrol namba T...AQN mweeh! Ilikuwa akinitazama gari zikisogea nami namtazama ukawa ndo kamchezo.

Baada ya kupita mataa ya maktaba tukapotezana nyomi lilikuwa kali balaa hee kuja kustuka maeneo ya DSTV pale karibu na st. Peters kijana huyu hapa akanitupia jicho nami nikamtizama hahahhaaaa!

Gari zikasogea mdogo mdogo akanipungia mkono nikabaki whaaaooo!

Nikafreez sikuweka ku wave back so sad we were parting baada ya kufika mbuyuni yeye akaelekea namanga mie nikanyoosha to morocco.

Ila baada ya kumpita akisubiria jukata namanga nilimpungia sjui kama aliona...

Guy your wave left a smile on my face and double heart beats on my heart till I realise that am in crash with you nissan guy.

So sad hatufahamiani hata majina but I enjoy your looking, good night!

Ila usingizi hauji sasa.......!! daah!!

Hyo avatar ndo sura yako??
 
Now was it the guy or the car?
It was the guy!!
Who is gonna hump you? The guy or the car?
The guy....
Who is gonna hold ya?
The guy....
And what does this mean??

Karucee, I had a crash with the guy who was driving a nissan patrol!!....
The wave, the smile.... the look.... the eyes the way they look at me.... ooohhh God knows more.....
wacha niishie hapo!!
 
It was the guy!!
The guy....

The guy....

And what does this mean??

Karucee, I had a crash with the guy who was driving a nissan patrol!!....
The wave, the smile.... the look.... the eyes the way they look at me.... ooohhh God knows more.....
wacha niishie hapo!!
Hahahahaaaa. I too have been there.
You dont wanna know how the story ended.

smdh means shaking my damn head.
 
Heheheh usicrash mchezo chezea nissan na kibito weye......

Ila serious ukipendwa oendeka

Ukipungiwa pungukika

Ukitamaniwa tamanika

Usiku mwema

Jamani the cars here had no issue I just mention kuonesha utofauti na kujaribu kumtenganisha na wengine barabarani
I crashed the guy, akinipungia sku ingine ntampungia
 
Hahahaaa I dont think it will happen again, maana siku za kutoka kazini hazifanani sku ingine unawahi skuingine unachelewa. Halafu skuingine nakuwa sina gari napanda bajaji looh so ......... am sad to miss him but am happy to have a wave and a a smile...

Ushauri wangu mie hii inatakiwa ibaki kuwa kumbukumbu nzuri moyoni mwako Kasinde.. Don't bother to look for him kwa sababu hata ukija kumpata u may end up being disappointed..
 
Last edited by a moderator:
I see him....

He saw me.....

We look at each other....



mapenzi ni kitu cha ajabu sana kalunde.... go ahead thinking about him.... go deeep down!

 
Last edited by a moderator:
Na leo kulivyokuwa na foleni plus hali ya hewa nyevu, sina uhakika kama kufuli lako lilipona na mvua za masika...

hahahaaa!! I was wet in my heart but my pant was dry.... loooh I can see what u were thinking hahahaaaa
 
Hadi raha . Keep looking , maybe just maybe
He is the one lol . Hope you are both single & " searching "
-🙂

Yaani ilikuwa raha... hasa tulipokuja kutana mara ya pili pale karibu na st. peters....!! U know what!! I was thinking to be single lady for the rest of my life but now my mind start to think otherwise....
 
Maasikini weee! kanissan boy kashakutoka... ila usijali hakikisha mida kama ile ile unakua maeneo yale ndani 1week lazima umkamate..

I dont think if I will manage it maana na mvua hizi....
 
kwa mtindo huu itabidi tununue ma nissan tu tuonekane. hata tinted siweki

hahahahaaaa kama unakismati kitakudondokea tuu hata ukiwa kwenye bito kama yangu
 
Jamani nahitaji gal wa kuishi nae awe amekamilika kila secta.. Nidham na umbo
 
aaahh yeye hakuwa na macho makubwa kama hayo yako looh hehehheeee, na uso wake haukuwa wa duara

Aaghh! Kasinde, kasinde, kasinde! Ni mimi bhanaa! Au umesahau kuwa Jf tunafake id? Kama hautambui Uyo anofoka ni mdogo wangu, na uyo anaefokewa ni jirani yetu! Mwenyewe sjajiweka hapo!!!
...
Afu kwani si ata wewe umemueka shoga yako hapo! Au ndio wewe mwenyewe! Pale skukuona vizuri lakini kama unafanana fanana vile!
Embu njo PIEMO nikung'ate hako kaskio kako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom