kasinde is in a crash with...!

kasinde is in a crash with...!

sasa kasinde kuna kigeni gani hapo jamani? hujamuelewa Kaizer? hivi vitu havijagi mara mbili ujue?

assume ndo jamaa huyo sasa wa kwenye foleni anahitaji namba halafu unamzingua...

hahahaaaaa nyie, kwa hiyo ndo umeshaanza kumfanyia kampeni Kaizer...??? haya bana nimeelewa
 
Last edited by a moderator:
kaizer!!! where were you man? i almost caught my catch!!!

I think I boozed exceeding acceptable limits...hence the miss but never late than never..so what hapenned, Son?
 
I think I boozed exceeding acceptable limits...hence the miss but never late than never..so what hapenned, Son?

its like this, as i said, iam not here kubahatisha bahatisha!!!

i did my part... i left yours!!

i am waiting for my promotion...
 
hahahha meno yake yameng'olewa na wale majangili wa tembo?

lol.. si alijifanya anajua kung'ata..!! sasa kang'ata mwamba geu..!

meno yakapukutika kama sufi kwenye upepo!
 
yaani nimekuvulia kofia loooh uchokozi wako sjui nani aje anisaidie hapa sasa ndo nini unatoa details zote yaani wewee, na ujue bado niko ofcn sijatoka hadi saa hii najiandaa na siku yetu kesho si unajua mambo ya women's day.

Hahaha...basi Heri ya Siku ya Mwanamke...

Ila nikikuona....... lazima nilipizie uchokozi wako aisee na nikitoka ntakaa mbali na muuza matunda hehehehehee

Ndio maana sikukuona eenh...ila uzuri siku zipo tele
 
Back
Top Bottom