kasinde is in a crash with...!

kasinde is in a crash with...!

mbona sasa waniimbia mie wallahi?! hivi ulipatia wapi hio coincidence?

Bana sikuimbii wewe nilikuwa namemorise the crash
On the way home jana kuanzia barabara inayoelekea maktaba kutokea posta town hadi mbuyuni.... natamani na leo itokee tena
 
Kweli naona ulipenda gari maana jana nilibadili gari nikawa kwenye IST nikakutupia jicho kama nilivyoahidi hata hukunijali, any way naomba nikija ofisini na Nissan tena usiitamani maana nimegundua uliipenda gari sio mimi.

Unajichanganya mwenyewe braza, crash ilitokea jana jioni sasa wewe unasemaje jana ulikuwa na ist? Pole ati ukija ofcn? Hata sielewi unaongea nn.
Let me proceed with my crash... oohh boy a nissan patrol driver my heart is crashed over wherever u r...
 
Bana sikuimbii wewe nilikuwa namemorise the crash
On the way home jana kuanzia barabara inayoelekea maktaba kutokea posta town hadi mbuyuni.... natamani na leo itokee tena

lol! kwa hiyo angekupa namba si mngegegedana leo na mvua hii?

ulilala salama lakini kasinde?
 
lol! kwa hiyo angekupa namba si mngegegedana leo na mvua hii?

ulilala salama lakini kasinde?

Thank God am saved kwa kutokupata nafasi ya kupeana namba, otherwise ningeharibikiwa na saa hizi machozi yangekuwa yananitoka looh
Nimelala na kuamka salama
 
Waaaa.......hii huwa inatokea sana.......cha kufanya.......kwa sababu unayo namba......nenda TRA.......dakika unampata......
Mind that am talking from experience........
 
wakaka wa mujini wanakamataga wadada wengi kwa staili hiyo hiyo. halafu wakiwa kwenye gari ndio wanazidi kuonekana mahb, angekuwa anatembea kwa miguu pengine hata moyo usingestuka.

duh kweli eeh.ngoja nikatoe hii TINTED kumbe inanibania!
 
Hahahaaaa jamani nijibu basi maana swali ndo nshaliuliza hivoo
Hahahaaa mwandiko tena umekufanya unicrash jamani nissan guy atasikia wivu looh au ndo wewe unajikausha tuu hapa....??

Hahaha jibu ni kwamba ndio nishawahi kupata crash and this time imeangukia kwako...

Kutokana na madoido yako kuna haiba naifikiri kuwa unayo na naiona inaishi katika namna uandikavyo...
 
Hahaha jibu ni kwamba ndio nishawahi kupata crash and this time imeangukia kwako...

Kutokana na madoido yako kuna haiba naifikiri kuwa unayo na naiona inaishi katika namna uandikavyo...

Mmmhhh watu8 otherwise uniambie wewe ndo yule tuliokuwa tukipungiana njiani kwenda home kwenye foleni. Sasa umenicrash mie tena mmmhhh we si tayari unae wako humu? Haiba gani hii niliyonayo hata mie siifahamu?
Huo ni uchokozi tuu nshaanza kuuona...
 
You must be very kind Kasinde

When you change your mind, ll be waiting !!! LoL!!!!

Ooohhh!! Am I that kind? Jamani.... thanks u must be a good friend then.

Take care friend in this masika season
 
Waaaa.......hii huwa inatokea sana.......cha kufanya.......kwa sababu unayo namba......nenda TRA.......dakika unampata......
Mind that am talking from experience........

Asante umenipa idea nzuri, ila naogopa nikishamjua kisha nikakuta he is occupied.... natamani itokee tuje kukutana tena without expectingambako tutapata muda wa kuongea labda harusini, msibani....
 
Mmmhhh watu8 otherwise uniambie wewe ndo yule tuliokuwa tukipungiana njiani kwenda home kwenye foleni. Sasa umenicrash mie tena mmmhhh we si tayari unae wako humu? Haiba gani hii niliyonayo hata mie siifahamu?
Huo ni uchokozi tuu nshaanza kuuona...

Hahahah!!

Miye watu8 hata nisingeishia kukupungia mkono tu bali ningekuja kujumuika nawe kwa ndinga yako...

Wa humu ni wa humu na wewe ni wa kwenye foleni huko nje ya jeiefu hivyo hakuna lililoharibika atii...

Hata sio uchokozi bali nikuambiayo ni kweli na ndio maana nimethubutu kukueleza
 
Asante umenipa idea nzuri, ila naogopa nikishamjua kisha nikakuta he is occupied.... natamani itokee tuje kukutana tena without expectingambako tutapata muda wa kuongea labda harusini, msibani....

kama njia yako ya kutoka kazini ni hio hio na muda ni huo huo mtakutana tena tu
 
Hahahah!!

Miye watu8 hata nisingeishia kukupungia mkono tu bali ningekuja kujumuika nawe kwa ndinga yako...

Wa humu ni wa humu na wewe ni wa kwenye foleni huko nje ya jeiefu hivyo hakuna lililoharibika atii...

Hata sio uchokozi bali nikuambiayo ni kweli na ndio maana nimethubutu kukueleza

Wee watu8 weewee usifanye mie nikanuniwa na kumwagiea maji ya moto humu. Si unajua wadada zetu kununiana hahahaaa, mie muoga bana kugombana, kupigana kupashuana siwezi, naweza kuchekatuu na kuimba baas!! Sasa ukisema wa humu wa humu mie wa kwenye foleni, usiache wakanitolea upepo bito yangu buree wakati sina hata ugomvi na mtu, mdada wa watu mpoleeee
Na kwamza umenijulia wapi maana uniambiayo ni kweli.... am keen who r u?
Tena ukithubutu kuingia kwenye ndinga langu ntamwagiwa tindikali buree, ntaringaje sasa mjini hapa na sura haina repair looh bora tupungiane tuu kwa foleni
Halafu uache uchokozi bana.
 
Back
Top Bottom