Kasie's Crush... He Crush on Me....

Kasie's Crush... He Crush on Me....

vibibi vyengine bhana!

sasa hayo maswali ungemkubalia mazungumzo hakika ungepata majibu sasa sisi huku tuangaike na vichwa vilivyopo pretoria na huku kwetu kukavu tia mchuzi!,pole bibi mapenzi umepoteza bahati ya embe dodo mfenesini.
 
Halafu weewee..... Happy new year?

You are bad... last time you tell me you'll quit.... and I was like.... I'll be all alone....

Hahah Kasie, am still chasing the goodies of JF ila si kivile...so u still got me to keep u company uunh..

Hivi kumbe ni since last year eenh hatujatiana machoni, time flies by so fast...

You better not bet cause utaponiona utakuja kubadili usemi wako fastaa hehehehe

mmmh!!! still gotta trust my guts
 
Sam, sio kuwa maji dharau bali nausema uhalisia kuwa nimezeeka hivo ule mvuto wangu nikiwa mschana haupo tena. Nashindwa muelewa mwanaume anayenitongoza. ..... what's is he into.... am a mere normal woman out there....

Ina maana hata mimi unanishangaa? Kwako nimefunga break. Kila siku nakwambia ruka koote utarudi tu nyumbani where you belong!!!!
 
Watu wanasafiri toka LA hadi Sidney kufutata penzi, haya mambo yana siri za ajabu. Mapenzi ni kitu cha ajabu sana.

Binafsi simshangai huyo jamaa, kuna nyakati nilisafiri umbali mrefu, ili tu kufata penzi langu. Looking back at it.....sijui hata nilikuwa nawaza nini.
 
vibibi vyengine bhana!

sasa hayo maswali ungemkubalia mazungumzo hakika ungepata majibu sasa sisi huku tuangaike na vichwa vilivyopo pretoria na huku kwetu kukavu tia mchuzi!,pole bibi mapenzi umepoteza bahati ya embe dodo mfenesini.

Hahahahhaa poleee
 
Hahah Kasie, am still chasing the goodies of JF ila si kivile...so u still got me to keep u company uunh..

Hivi kumbe ni since last year eenh hatujatiana machoni, time flies by so fast...



mmmh!!! still gotta trust my guts


Yeah it has been long.... maybe tunapishana tuu.

You still trust your guts.... I see.... He told you how Kasie is eehh..... ngoja nikamfinye heheheheh.
 
Ina maana hata mimi unanishangaa? Kwako nimefunga break. Kila siku nakwambia ruka koote utarudi tu nyumbani where you belong!!!!

Hahahahahahahaa Sam unanivuta hivo ujue..... eehehehehehehehehheheheeeee

Wewe nakuelewa sikushangai kama hawa vijana.
 
Watu wanasafiri toka LA hadi Sidney kufutata penzi, haya mambo yana siri za ajabu. Mapenzi ni kitu cha ajabu sana.

Binafsi simshangai huyo jamaa, kuna nyakati nilisafiri umbali mrefu, ili tu kufata penzi langu. Looking back at it.....sijui hata nilikuwa nawaza nini.

Basi nimeelewa..... ila vijana kwa wazee inakuwaje? Au waoga wa kutongoza vijana wenzao?
Msalimie RRONDO
 
Una uzee gani bwana acha mambo yako! Below 50yrs unatongozwa tena vizuri tu.

Aahahahahaaa haya bana ngoja nikubaliane na hali halisi. Basi ntawafikiria....
 
Hisia zako tu jamaa alikuwa ana mambo yake kabisa mbona tunapanda nao gar 1,2 had la 3 na hatushtuki
 
Hisia zako tu jamaa alikuwa ana mambo yake kabisa mbona tunapanda nao gar 1,2 had la 3 na hatushtuki


Hivo eehh basi mie nilikuwa sijui.... asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom