Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #101
Kuna wanawake hata akiwa MTU mzima wanaume tunadata tu. Hasa ukiwa unajikeep natural na kujipenda na kutulia. Mara nyingi wanaume tunapenda mwanamke anayejiamini, aliyetulia asiye na maneno maneno mengi hasa kwenye ishu sirias. Unapomwangalia usoni unamjua toka Nje mpaka ndani na unajua kama anafaa, ana ladha na mengine. Wewe sijakuona ila kiasi Fulani nimeshakujua ulivyo. Hivyo huyo MTU hakudata kwa Bahati mbaya Bali nikua unadatisha sana watu hata baadhi ya wa humu JF.
Heheheee umenijuaje? Na umegundua au kuona nini kwa Kasie?