Kasie's Crush... He Crush on Me....

Kasie's Crush... He Crush on Me....

Kasie ww hata sura ikunjamane ile kitu bado haijajikunja ipe haki yake huyo kijana ukikutana nae mpe dushere aonje pebgine anapenda za wazee kasie wajua nyinyi wabibi ni watamu sanaaa
 
Ungemwonea huruma kijana wa watu hata kwa kumsemesha tu

Hahahahaaa yaani unajua kuna muda nilitaka kumpa tabasamu la kizee ila nikasema nikitabasamu tuu basi atanibusu hivihivi najiona. Nilimuonea huruma zaidi pale alipotaka kupanda daladala niliyo panda mimi akakuta imejaa hehehehehe. Kweli wanaume mmeumbiwa mateso.
 
Mtihani mkubwa na kosa linalowakabili wengi ni hapo kutofautisha tamaa na upendo...

Kasie nani kakwambia hauvutii au sio mzuri? Umetumia vigezo gani kufikia hilo hitimisho?

Ni kweli usemacho Sam.... kiufupi yule kijana alinitamani na si kama alinipenda on the first place. Maana hapo do nashangaa si rahisi umpendae mtu ilhali hana mvuto wa macho....

Mie ni mzee nahua kuna wazee wanazeeka na uzuri wao ila Kasie sio.... kunyanzi zimeanza kama kinyago cha mmakonde. .. manyama uzembe kibao na ngozi haina nuru yaani mvuto sifuri ndo maana najiuliza kipi haswa kilimvutia.... au ndo alitamani chupa ilale?
 
Ndio maana nasema, ni kazi sana kujua nani anakupenda na yupi anakutamani, wanaume kuna wakati tuna mambo ya ajabu sana...wakati mwingine mtuombee tu itapendeza.

Kwa mantiki hii nawaelewa kuwa saa ingine mnakuwa tuu na mambo ya ajabu ajabu. Haya
 
Kuna hisia hutokea na huja bila sababu.
Au pengine sijui sababu ya hizo hisia.
Huwa inanitokea kwa mwanaume napuuzia naendelea na mambo yangu.
Ila image yake inaweza kulast miezi na miezi ndani ya akili yangu.

Ila Kasie si ungemsalimia tu jamani!
 
Ni kweli hata mie huwa nakutana na watu ambao nawazimikia na natamani walau tuwe na siku nzima pekeyetu. Ila nakuwa na tai shingoni kimya kimya.

Hahahaha wajua ningemsalimia au kumtabasamia hehehehe siajabu story ingekuwa na heading tofauti.... maana na mke nami looh.
 
Ni kweli usemacho Sam.... kiufupi yule kijana alinitamani na si kama alinipenda on the first place. Maana hapo do nashangaa si rahisi umpendae mtu ilhali hana mvuto wa macho....

Mie ni mzee nahua kuna wazee wanazeeka na uzuri wao ila Kasie sio.... kunyanzi zimeanza kama kinyago cha mmakonde. .. manyama uzembe kibao na ngozi haina nuru yaani mvuto sifuri ndo maana najiuliza kipi haswa kilimvutia.... au ndo alitamani chupa ilale?

Ni kosa kubwa sana Kasie kujidharau, usinielewe vibaya, ni kweli unazeeka lakini haimaanishi ule uzuri wako unapotea, usiruhusu mawazo na hisia zako zikakunyanyapaa. Umesahau unavyojiona wewe nafsini mwako ndivyo unawafanya na watu wengine wakuone hivyo?
 
Kwa mantiki hii nawaelewa kuwa saa ingine mnakuwa tuu na mambo ya ajabu ajabu. Haya

Ni kwa vile tu wewe unapenda kufunguka na kufurahia maisha, kila mtu angeeeleza mikasa yake hapa, mngeshangaa wanaume tunavyohitaji maombi na huruma. Kuna vitu unafanya akili na roho vinakwambia kabisa hii sio sawa...lakini hapohapo unaendelea kujisokomeza...acheni tu tuitwe wanaume.
 
We mzee halafu mi mada zako na uandishi wako huwa sivielewagi?
 
Hahaaa. Dada yangu wa Kinyamwezi katika ubora wako mwenyewe.

Siku zote kuna vitu huwa vikitokea vinakuwa ni kama kikohozi yaani mtu anaweza jizuia ila mwisho wa siku inashindikana. Na ndio ilivyokuwa kwa huyo Kaka sasa.

Hehehehhee kweli kikohozi ila ndo alishindwa kukohoa kabaki anaguna tuu hehehhe
 
Utakuwa na mvuto haswa we binti...i bet!

Halafu weewee..... Happy new year?

You are bad... last time you tell me you'll quit.... and I was like.... I'll be all alone....

Muuza matunda vs mazoezi ya kutembea.

You better not bet cause utaponiona utakuja kubadili usemi wako fastaa hehehehe
 
Wala usishangae ,sisi wanaume tunaweza safiri safar ya masaa 48 kumfuata mwanamke ,,maajabu nikwamba ukishamla tu unaanza kujilaumu kwann umepoteza muda na pesa !!.

Nahapa ndo wanawake wengi mnapotezwa nakuingizwa chakiume sababu Tafasir yenu yakwanza kwahuyu mwanamme huwa ni "Ananipenda sana ndo maana kapoteza muda na pesa nakutembea umbali mrefu kwaajili yangu"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mama papuchi tunaifatiliaga sana hata km nikutoka Beijing na kwenda Washington DC.
 
Kwakweli mmeumbiwa mateso... Poleni
Ila muwe mnaanza hivo kwa wanawake vitu basi walau hata mku akikutumia unafukuzia akuelewe kweli umevutika.
 
Mimi nina swali Kasie huo uzee wako na shepu mbaya unayotaja wengine ndio wanapenda namba hizo kama za kwako usiwapangie wapende wapi kwingine kuzuri, una damu kali sana ya either kupendwa tu ili mtu apate kitu chake aishie au una damu ya kupendwa tu bila ya mtu kuhitaji kitu chochote kutoka kwako au unadamu ya kupendwa ili uolewe moja kwa moja ila wewe unatolea nje, shepu sio tatizo umri sio tatizo tatizo linaweza likaja hapo baadae kwenye tabia ya kwake au yakwako ndio vinaweza vikamfanya asikupende kabisa na si umri wala uzee au ngozi kuwa nzee.

Chris... asante kwa maneno yako mujarabu
.
 
Back
Top Bottom