bendera ya cdmNiliona kwenye ITV bendera za CHADEMA kwenye msafara wa Rais.
Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
ungebadili title pale kwenye mnyika ukaweka jk na kwa jk ukaweka mnyika ningejua umemaliza japo form two
nakutilia mashaka ndugu yangu maana hata yule mwenye darasa la nne la mkoloni yuko juu zaid yako
- :nono:
Hii ni mfano tosha kwa Mhe.Nauye kwamba, Mnyika ni zaidi ya alivyokuwa anamfikiria,yani ni kimbunga.
get ma likeWabunge wa CCM kwa kushirikiana na naibu spika waliihujumu hoja ya John Mnyika lakini wananchi wameonyesha kutoyumba, wameendelea kumuunga mkono na sasa raisi wa nchi ametambua hali halisi na kuingilia kati ili kutatua tatizo la maji.
Masnitch wote waliokuwa wanambeza Mnyika sasahivi vichwa chini kama vile wameshikwa ugoni.
katika swala hili nikiwa kama mdau wa mkoa wa dar es salaam,nawashukuru sana mheshimiwa Mnyika na rais Kikwete kwa kuweka siasa kando na kujali matatizo ya wananchi.Natamani hali hii iendelee.Nimefurahishwa sana na tukio hili lakini naomba isiwe lazima mpaka watu waandamane ndio wasikilizwe.hayo aliyoyasema mheshimiwa Rais tunakuomba mbunge wetu Mnyika uhakikishe yanatekelezwa maana rais kashakuambia tatizo sio yeye,ila ni hawa mabosi vitambi wetu hapa katikati ya wananchi na serikali.Tunataka hili bomba lijengwe na tunataka kusikia kuna mipango gani kutatua tatizo la maji,niongezee na UMEME.Watuambie walipofikia ktk kutekeleza mipango ya umeme maana tayari ilishakuwepo.