focus ngajimala
Member
- Jun 18, 2012
- 58
- 5
Rais Anatuonesha nin juu ya spika wa bunge letu tukufu.
Nimechamba! Haya tuendelee na mjadala
Hii kali..Amestushwa na tatizo la maji Dar!!!????Kumbe muda wote huu alikuwa hajui/hajaelezwa!?
Aaiii weeweeee! ssa umechambia nini wakati maji hayapo, umechambia mate?
Songoro!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! umeishushia heshima ikulu na rais, hawa ulio wataja walienda kutalii, sasa sijui unamanisha kuwa agizo la rais halina umuhimu wowote kwa hiyo walioitwa nao wanaenda kutalii pia?Kasi ya Mnyika imtishe Jakaya? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, Makocha wa Mnyika wamelambishwa sakafu kwa Nyakati tofauti, Mbowe 2005,Slaa 2010. Kama mnadhan kuitwa Ikulu ni ishu hata Mzee Yusuph Mzimba wa Yanga Asili na Mzee Dalali wa Simba kwa Nyakati tofauti wameenda magogoni kuzungumza na Mzee, Jakaya ni wa wote bila ya kujali Itikani,dini,kabila,jinsia wala kipato Hata mateja kama Ray C washaenda!
Dah, heri yao wenzetu waliochagua mbunge wa watu. Sisi wa ukonga tuliyechagua CCM tulie tu. Yaani kule tuna mbunge ambaye hata kwa sura hatumfahamu. Hatumsikii bungeni wala jimboni. Kuwa na mbunge wa CCM ni kama laana.Safi sana Mnyika ka kulivalia njuga tatizo la maji kwenye jimbo lako, nampongeza pia Rais Kikwete kwa hatua alizochukua kutaka kumaliza tatizo la maji, pia imedhirisha jinsi viongozi wa serikali yetu wasivyo na mipango thabiti ya kumaliza tatizo la maji, mpaka Rais anagundua kabisa kun ubabaishaji, namshauri angewafukukuza kazi hao wababaishaji ili tusonge mbele
Kasi ya Mnyika imtishe Jakaya? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, Makocha wa Mnyika wamelambishwa sakafu kwa Nyakati tofauti, Mbowe 2005,Slaa 2010. Kama mnadhan kuitwa Ikulu ni ishu hata Mzee Yusuph Mzimba wa Yanga Asili na Mzee Dalali wa Simba kwa Nyakati tofauti wameenda magogoni kuzungumza na Mzee, Jakaya ni wa wote bila ya kujali Itikani,dini,kabila,jinsia wala kipato Hata mateja kama Ray C washaenda!
Niliona kwenye ITV bendera za CHADEMA kwenye msafara wa Rais.
Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
Siita lukolo hiyo mijitu ya ccm ilisha laaniwa. Ila tulikua wajinga wakati wa kwenda wakati wa kurudi tutakua waelevu.Dah, heri yao wenzetu waliochagua mbunge wa watu. Sisi wa ukonga tuliyechagua CCM tulie tu. Yaani kule tuna mbunge ambaye hata kwa sura hatumfahamu. Hatumsikii bungeni wala jimboni. Kuwa na mbunge wa CCM ni kama laana.
Mkuu Dingswayo
Hiki ki message "Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2" una kiset vp
Na mie natumia ka GT-I9100, nataka ku set haka ka message