Kasi ya Mnyika yamtisha JK

Kasi ya Mnyika yamtisha JK

ungebadili title pale kwenye mnyika ukaweka jk na kwa jk ukaweka mnyika ningejua umemaliza japo form two

Kwani hilo gazeti la Mtanzania linatoka siku gani na siku gani ? Nataka nilione ili nimuulize huyo mwandishi wa habari ile " Mnyika amemtisha vip JK " ? Nimeisoma habari nzima sijaiona mahali alipotishwa kwa kasi yoyoooote !
 
Mnyika kwa kweli anajiweka karibu sana na wapiga kura wake, TATIZO NI HUYU ANAYEITWA MDEEE SHE IS VERY HOPELESS, HUKU SALASALA KWA BABU MAJI YA BOMBA BARABARA YA UHAKIKA NI NDOTO, MBUNGE AKIITWA KUJADILI ANA KULA KONA
 
Pamoja na mapungufu ulionayo kwa uamuzi huu unastahili pongezi.

Tatizo la maji likiisha, wananchi wa Ubungo hawatamkumbuka mh.Mnyika tu bali hata wewe!

Tatizo ni wasiadizi wako na wewe mwenyewe kutowawajibisha!
 
inaonekana propaganda za ccm dhidi ya chadema haziwaingii kabisa wananchi, ni sawa na kelele za chura....

Kweli kabisa Mkuu...Wananchi wamechoka na propaganda za kishenzi,wanachohitaji ni maendeleo tu.
 
kwa akili yako ndogo uliona uliona bendera za ccm na cdm tu.cuf hukuona?,kila kwenye tatizo kazi ya raisi kuwajibika,katika ziara yake kulikuwa na maagizo mengi tu sio maji pekeyake.Mnyika anachonga sana,sasa kwenda ofisi za selikali anashindwa,anabaki kulalamika kwa wananchi,mara dhaifu mara wanataka kutuuwa.kuwa kama Salasini au mu meo Mboe alivyosema kweli kule Hai wakati wa ziara ya raisi.mwaka 2015 sio mbali.wanaubungo hamna ahadi yamaana uliyo watekelezea.
 
inaonekana propaganda za ccm dhidi ya chadema haziwaingii kabisa wananchi, ni sawa na kelele za chura....

Ndo manaake mkuu,hatuwezi kuyumbishwa na propaganda coz tunajitambua
 
kwa akili yako ndogo uliona uliona bendera za ccm na cdm tu.cuf hukuona?,kila kwenye tatizo kazi ya raisi kuwajibika,katika ziara yake kulikuwa na maagizo mengi tu sio maji pekeyake.Mnyika anachonga sana,sasa kwenda ofisi za selikali anashindwa,anabaki kulalamika kwa wananchi,mara dhaifu mara wanataka kutuuwa.kuwa kama Salasini au mu meo Mboe alivyosema kweli kule Hai wakati wa ziara ya raisi.mwaka 2015 sio mbali.wanaubungo hamna ahadi yamaana uliyo watekelezea.

Kweli ww hamnazo!bora mnyika anaechonga na jk akili inamkaa sawa!hao waliopita wamefanya nn?huna lolote,na bado
 
Hili ni anguko lingine la bunge kuikataa hoja ya Mnyika na Jk ameingilia kati
 
"Home Shopping Centre"!!!???:tape2::tape2:

Ndo wakwepaji kodi wakubwa hapo,mizigo yote ya Kariakoo ya nguo,simu etc wao huitoa kwa kukwepa kodi.Na pana hisia ya kuwa hiyo kampuni Jk anauhusiano nayo,na pia inalindwa na salma.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kasi ya Mnyika imtishe Jakaya? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, Makocha wa Mnyika wamelambishwa sakafu kwa Nyakati tofauti, Mbowe 2005,Slaa 2010. Kama mnadhan kuitwa Ikulu ni ishu hata Mzee Yusuph Mzimba wa Yanga Asili na Mzee Dalali wa Simba kwa Nyakati tofauti wameenda magogoni kuzungumza na Mzee, Jakaya ni wa wote bila ya kujali Itikani,dini,kabila,jinsia wala kipato Hata mateja kama Ray C washaenda!

kuitwa ikulu sio issue hakika...ni kama kwenda kilabuni vile
 
kwa akili yako ndogo uliona uliona bendera za ccm na cdm tu.cuf hukuona?,kila kwenye tatizo kazi ya raisi kuwajibika,katika ziara yake kulikuwa na maagizo mengi tu sio maji pekeyake.Mnyika anachonga sana,sasa kwenda ofisi za selikali anashindwa,anabaki kulalamika kwa wananchi,mara dhaifu mara wanataka kutuuwa.kuwa kama Salasini au mu meo Mboe alivyosema kweli kule Hai wakati wa ziara ya raisi.mwaka 2015 sio mbali.wanaubungo hamna ahadi yamaana uliyo watekelezea.
meandika nini, hata sielewi. Hii ni JF for GT
 
Yupo wapi MECKY SADICK aliyesema hata tukiandamana haisaidii,haya yeye sasa j3 anaandamana kwenda ikulu!
 
Ndo wakwepaji kodi wakubwa hapo,mizigo yote ya Kariakoo ya nguo,simu etc wao huitoa kwa kukwepa kodi.Na pana hisia ya kuwa hiyo kampuni Jk anauhusiano nayo,na pia inalindwa na salma.

Hii familia nzima itaenda itamfuata kenyatta mahakamani
 
Wabunge wa ccm kwa kushirikiana na naibu spika waliihujumu hoja ya John Mnyika lakini wananchi wameonyesha kutoyumba, wameendelea kumuunga mkono na sasa raisi wa nchi ametambua hali halisi na kuingilia kati ili kutatua tatizo la maji.

Masnitch wote waliokuwa wanambeza Mnyika sasahivi vichwa chini kama vile wameshikwa ugoni.

mnyika n mpambanaji so big up sana muheshimiwa@unapaswa kuigwa na wabunge wengine,kwa pamoja tunaweza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom