Katibu wa bunge bwana Kashillillah aliita waandishi wa habari kuelezea minyukano iliyojitokeza katika mkutano wa 3 wa bunge hili la 10, aliuleza umma kwamba kilichosababisha ni ugeni wa wabunge na sio udhaifu wa Spika. Alienda mbali zaidi kutolea mfano wa mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema kwamba kitendo chake cha kusema 'funga mlango tupigane' kinatokana na uchanga wake bungeni na kwamba hana wala hajasoma kanuni za bunge. Maoni yangu ni kwamba katibu hajamtendea haki Mhe. Lema kwa sababu
1. Ni wabunge wengi ambao walijibizana maneno wakiwemo wakongwe na mawaziri (tulisikia wengine wakisema 'atoke nje');
2. Si kweli kwamba mhe. Lema hana kanuni za bunge;
3. Kila bunge jipya huja na wabunge wapya lakini haya hajajitokeza huko nyuma;
Mtazamo wangu ni kwamba yaliyojitokeza ni mwanzo tu wa kuonesha dhahiri kwamba spika wa sasa hakuwa amewiva vya kutosha kuvaa viatu vya Sitta. Aidha kitendo cha ufafanuzi huu kutolewa na katibu wa bunge ni ushahidi mwingine kwamba Spika kashindwa. Naomba kuwasilisha.

Sasa hata kama wewe ukiwa spika au Dr Slaa awe Spika utashikilia midomo ya wabunge wote ili wasilopoke na kusema fungeni milango tupigane! Mimi naona ni tatizo la kupata wabunge wahuni ambao wanashindwa kuelewa hadhi ya bunge na kuona kama wako kijiweni!

Sijui lini tutaacha unafiki!lema amekisema kilichokuwa moyoni bila unafiki,matukio kama haya sio mageni duniani,hata bunge la israel panachafuka hadi wabunge hutolewa nje na maafisa usalama.
Katibu wa bunge bwana Kashillillah aliita waandishi wa habari kuelezea minyukano iliyojitokeza katika mkutano wa 3 wa bunge hili la 10, aliuleza umma kwamba kilichosababisha ni ugeni wa wabunge na sio udhaifu wa Spika. Alienda mbali zaidi kutolea mfano wa mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema kwamba kitendo chake cha kusema 'funga mlango tupigane' kinatokana na uchanga wake bungeni na kwamba hana wala hajasoma kanuni za bunge. Maoni yangu ni kwamba katibu hajamtendea haki Mhe. Lema kwa sababu
1. Ni wabunge wengi ambao walijibizana maneno wakiwemo wakongwe na mawaziri (tulisikia wengine wakisema 'atoke nje');
2. Si kweli kwamba mhe. Lema hana kanuni za bunge;
3. Kila bunge jipya huja na wabunge wapya lakini haya hajajitokeza huko nyuma;
Mtazamo wangu ni kwamba yaliyojitokeza ni mwanzo tu wa kuonesha dhahiri kwamba spika wa sasa hakuwa amewiva vya kutosha kuvaa viatu vya Sitta. Aidha kitendo cha ufafanuzi huu kutolewa na katibu wa bunge ni ushahidi mwingine kwamba Spika kashindwa. Naomba kuwasilisha.
Je PhD yake inafanyakazi yake hapo bungeni! Basi ndo kumkuta mtu kama huyu kugeuka kama kada wa ccm kwani yuko underemployed! Nashauri wampeleke UDOM akatoe lecture halafu wanafunzi watatupa feedback!Nina shaka na uhalisia wa udaktari wa Dr Thomas Kashilila. Anasema asilimia sabini ya wabunge ni wapya bungeni na wengi ni vijana hivyo hawajui au hawajazoea kanuni. Sioni mantiki ya kuwa mgeni na kutokukua kanuni ikiwa zimeandikwa kwa Kiswahili na wabunge wanajua kusoma.
Kwa maoni yangu wabunge wapya na hasa wa Chadema wameonesha uelewa na matumizi makubwa ya kanuni kuliko wa zamani na hata kuliko Spika aliyekaa bungeni muda mrefu kuliko wabunge wote.
Yaani, kuna wabunge wakongwe na wapya ambao hawazijui kanuni, na kinyume chake. Pia kuna sisi wengine ambao hata siyo wabunge lakini tunazijua kanuni hizo kuliko wabunge.
Kashilila arejee namna kanuni zilivyokiukwa wakati wa chaguzi mbalimbali ndani ya bunge. Pia athibitishie umma kwamba wote wanaozomea bungeni na kupiga makofi kwa mkumbo kwamba ni wabunge wapya
Nina shaka na uhalisia wa udaktari wa Dr Thomas Kashilila. Anasema asilimia sabini ya wabunge ni wapya bungeni na wengi ni vijana hivyo hawajui au hawajazoea kanuni. Sioni mantiki ya kuwa mgeni na kutokukua kanuni ikiwa zimeandikwa kwa Kiswahili na wabunge wanajua kusoma.
Kwa maoni yangu wabunge wapya na hasa wa Chadema wameonesha uelewa na matumizi makubwa ya kanuni kuliko wa zamani na hata kuliko Spika aliyekaa bungeni muda mrefu kuliko wabunge wote.
Yaani, kuna wabunge wakongwe na wapya ambao hawazijui kanuni, na kinyume chake. Pia kuna sisi wengine ambao hata siyo wabunge lakini tunazijua kanuni hizo kuliko wabunge.
Kashilila arejee namna kanuni zilivyokiukwa wakati wa chaguzi mbalimbali ndani ya bunge. Pia athibitishie umma kwamba wote wanaozomea bungeni na kupiga makofi kwa mkumbo kwamba ni wabunge wapya
Come to think of it!!!! .........hivi huyu jamaa ni daktari wa masuala gani?