Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.

Yaani hata viongozi wa upinzania tunaowategemea waibane serikali kila kona kwenye maadili ,matumizi na utekelezaji nao hawatosheki na wake zao? maana yake hawatatosheka na mishahara yao nao pia watapokea rushwa kwa ukubwa wa familia zao na majukumu.Je tutafika.
 
suala la maisha ya viongozi sio binafsi kamwe, kiongozi anapaswa kuwa msafi na kuonekana Kuwa msafi...sio binafsi kamwe....

we kabanga unataka kiongoz akilala na mwanamke awaambie wananchi wangu leo nmelala na huyu na kesho ntalala na yule hiv unayajua ayafanyayo Komba?? Tumia akili hiv kwenye suala la uzinzi nan atapona?? kuanzia ikulu mpaka huku mtaani hata wewe ni mzinzi vilevile.
 
wewe sema unamuhitaji??? Coz naona lnakuuma wewe kuliko hata mkewe ,sasa tukueleweje wewe?mkewe yupo kimyaaaaa! Wewe huku unawashwaaaaaa,, sema mkuu funguka.
Mkuu chausikukitamu, ​unajuaje kama mke wake amekaa kimya?
 
Halafu mbona CLINTON hakubaki salama kwa uzinzi wake!!! hivi ni kweli hizi bangi za TUNDU LISU zimeshindwa kukumbusha kuw CLINTON alifanyiwa IMPEACHMENT ?????!!!!!

Kama clinton hakubaki salama mbona makamba (na hata mwinyi) na kapuya walibaka wanafunzi na wakabaki salama? usalama wewe unautaka usiwepo wakati anazini mbowe tu, lakini akibaka makamba aaaaa!! au kubaka si kosa bali kuzini?!!
 
Unajua wakati mwingine mbakaji na Mbakwaji kuna wakati hisia za ubinadamu zinawajia na wote hufurahia tendo la ubakaji na ubakwaji hasa kama ubakaji huo unafanyika kitandani kwenye majumba ya kifahari yenye kila aina ya uturi

Teh teh teh!Wewe mbaya wewe!

Yaani unamaanisha kale katoto kalikuwa kalikuwa kanafurahia kubakwa?Sasa kwa nini kalienda kushitaki bungeni?
Halafu kumbuka kaliambiwa kaende pale hotelini kapewe karo ya shule,kakaambulia kubakwa ati!?Sasa huyo Joyce Mukya aliambiwa na Mbowe wakutane Dubai akapewe nini mpaka afikie "kubakwa",maana tayari ni Mbunge ati!

Teh teh teh!
 

hivi kiongoz gani wa nchi kuanzia duniani, africa mpaka Tanzania atapona kwenye suala la uzinzi?? majukumu ya mtu hayaingilian na personal ishu ko we ukiwa kiongoz ukilala na mtu nje ya ndoa yako inaathiri vip maendeleo ya uongozi wako tumia akili??
 
CHADEMA ndio zao hizo, hakuna kinachoshangaza.

Maji hayapandi mlima! Alianza katibu mkuu na sasa mwenyekiti duh!
 
Global publisher si ndio wadaku wa kutupwa kama gazeti la uhuru wewe mama?
Mkuu, hata huu uzi tunaojadili sasa umetoka Global Publishers. Sasa utapima mwenyewe kama ni udaku au la. Lissu yupo na kama huamini mpigie akufafanulie
 
Siasa za namna hii zinaonyesha kutokukomaa kwa wanasiasa wetu,personal interest ndio kipaumbele cha wanasiasa wetu hapa nchini.Hovyo.
 

Acha uongo. Clinton hakuwa impeached.
 
ipi?............
Allegedly physical abuse, akaiondoa kesi mahakamani. Mandela akairudisha, yeye ndiye aliyemuacha mkewe.
Sasa sijui wewe una jungu lipi, usimfananishe Mboe na Mandela, unatia aibu.
 
Nakubaliana kabisa na Tundu Lissu.

Mambo binafsi ni mambo binafsi na hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kuongoza.

Your character defines what kind of a person you are. Kama uadilifu wa nyumbani kwako umekushinda vp utaweza kuwa Kiongozi muadilifu?
 

mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon
 
mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon

- Clinto alikuwa impeached na Congress, lakini akasamehewa na kupewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na kupoteza leseni yake ya Sheria na Senate!!

Le Mutuz
 
Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.
Ndoa is public, ni mkataba unaotakiwa uwe published in public records.
There's always a public interest in any marriage .... a wedding can be private.

Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Ha ha haa! Tanzania, siufurahii uzinzi lakini hebu tujitathmini kuanzia kwa Rais wetu hadi kwetu kina yakhe je maisha na nyendo zetu zikoje? tukiingia kiundani katika maisha yetu tutabaki wachache mno wenye sifa ya kuwa kiongozi na labda itabidi tuitishe uchaguzi haraka iwezekanavyo, But all in all say no to adultery
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…