Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,105
- 136,784
Duh! i wish to take back my earlier comments kuwa Luhigo alikuwa ni mshenzi na mla rushwa kwa sababu source yangu haijakamilika...maana nimepewa info kuhusu minongono ya ulaji rushwa wakati wale wadachi walipopewa contract ya kupanua bandari lakini sijapewa taarifa za kutosha kuhusu hilo hivyo ningependa kuwidhraw my initian allegation mpaka hapo nitakapopata credible data

GT, i salute you kwa uungwana huu !!

bado tuna ngonjea musamaha kutoka kwako kwa visingizio mbarimbari ulivyo murushia dokta masau alimuradi nawewe uwe accountable
kuhusu Dr Masau investigation ilishakamilika na vielezo vyote vilishaonyesha kuwa ni Tapeli
bado tuna ngonjea musamaha kutoka kwako kwa visingizio mbarimbari ulivyo murushia dokta masau alimuradi nawewe uwe accountable
Nyani
hii statement yako inanifanya nipunguze hesma kwako....."Having said that, it doesn't mean Mr.Luhigo wasn't corrupt." kama kweli alikuwa Corrupt inabidi uwe na statement za ku back hizo shutuma zako....Kuhani ameelezea vyema kabisa pia Game amekubali ya kuwa hana vithibitisho.Chati yako ilikuwa juu sana lakini kwa sentensi hii inabidi niiporomoshe chati yako kama dallor ya Zimbabwe....na kunifanya post zako nisiziamini.
Game T & Nyani N
GAME T Nakupa nishani ya ustaarabu....Nani Ngabu fata nyao za Muungwana Game...tunahitaji watu kama hawa si tu kuiendeleza JF bali Taifa letu kwa Ujumla..JF inaheshimika sana na tukileta ubishani wa mtaani na vijiweni tutazamisha JF...Game T keep it up.
Mstahiki
Jamani nimembana tena source wangu kuhusu Luhigo na nimegundua alikuwa ananimislead sasa sijajua kama ilikuwa ni deliberate au la. Lakini conclusion yangu kuhusu huyu ni kuwa it appears nimekuwa hoaxed by con man and an audacious swindler who has created a fantasy world kwa sababu alikuwa na beef na Mzee Luhigo pale THA.
Wadau kumkashifu na kumtolea maneno yasiyo na msingi huyu mzee nimeteleza I failed to do my job kama poster wa muda mrefu na kama mzee Luhigo anasoma hii thread then i would like to say "I'm sorry."
I should not have let myself be fooled na huyu jamaa. I deeply regret that I have let myself as well as Jamii Forums readers down." I posted this story with the sincere belief that the information nilizikuwa napewa na source yangu zilikuwa genuine, lakini my good intentions are beside the point.
Zaidi ya hayo,the bottom line is that the information i relied on should not have been used. Hivyo ningependa tena kuchukua fursa hii kumtaka radhi mzee LUHIGO na wasomaji wa JF na as a result nitaendelea kuinvestigatethis matter na ninawaahidi kuwa nitajaribu kukidhi jukumu langu kama poster kwa kufanya critical self-examination. Wadau kwa hili naombeni sana RADHI.
Duh! i wish to take back my earlier comments kuwa Luhigo alikuwa ni mshenzi na mla rushwa kwa sababu source yangu haijakamilika...maana nimepewa info kuhusu minongono ya ulaji rushwa wakati wale wadachi walipopewa contract ya kupanua bandari lakini sijapewa taarifa za kutosha kuhusu hilo hivyo ningependa kuwidhraw my initian allegation mpaka hapo nitakapopata credible data
Jamani nimembana tena source wangu kuhusu Luhigo na nimegundua alikuwa ananimislead sasa sijajua kama ilikuwa ni deliberate au la. Lakini conclusion yangu kuhusu huyu ni kuwa it appears nimekuwa hoaxed by con man and an audacious swindler who has created a fantasy world kwa sababu alikuwa na beef na Mzee Luhigo pale THA.
Wadau kumkashifu na kumtolea maneno yasiyo na msingi huyu mzee nimeteleza I failed to do my job kama poster wa muda mrefu na kama mzee Luhigo anasoma hii thread then i would like to say "I'm sorry."
I should not have let myself be fooled na huyu jamaa. I deeply regret that I have let myself as well as Jamii Forums readers down." I posted this story with the sincere belief that the information nilizikuwa napewa na source yangu zilikuwa genuine, lakini my good intentions are beside the point.
Zaidi ya hayo,the bottom line is that the information i relied on should not have been used. Hivyo ningependa tena kuchukua fursa hii kumtaka radhi mzee LUHIGO na wasomaji wa JF na as a result nitaendelea kuinvestigate this matter na ninawaahidi kuwa nitajaribu kukidhi jukumu langu kama poster kwa kufanya critical self-examination. Wadau kwa hili naombeni sana RADHI.
Hili tumeliandika kwa kirefu kwenye Cheche toleo lililopita. It is true.
Karibu huu upande wa dunia ambapo wanadamu huwa wanakosea. Ni ubinadamu tu na heshima yangu kwako na mchango wako katika JF hauaribiwi na hili kwa kipimo chochote kile. Don't beat yourself so hard. You are a good man and you had good intentions and sometimes and yes sometime even the best of us sometimes we DO FAIL or FALL. It is called the human condition. Pangusa vumbi bro, get urself up, get your head up, and on we go!!
Hili halitakumbukwa kama ushahidi.
What? God forbid!Lakini ndogondogo zinazoenea mjini ni kuwa hao si kati ya wanaopigiwa chapuo kwenda huko. Kuna maneno kuwa huenda Mattaka ndio akapelekwa
Kukosea na kuomba radhi sometimes haisaidii, no bora mchunguze hizo mnazoziitra source zenu na muepuke kukurupuka ili mradi tu zionekane posting zene JF