Uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa TRA hawacheleweshi mizigo..
uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa tra hawacheleweshi mizigo. Tena utaratibu wao wa sasa kimsingi unaharikisha utoaji wa mizigi kuliko awali. Tatizo ni ufinyu wa bandari hasa kitengo cha ticts. Pale ticts zinaegeshwa meli mbili tu kwa wakati mmoja ili kupakua makontena. Hali ya eneo kuwa la meli 2 tu ipo tangu miaka 20 iliyopita. Lakini biashara inakua hali kadhalika ongezeko la meli. Bandari inatakiwa kuongeza eneo la kupakulia meli za makontena kuwa zipakue hata meli 10 kwa wakati mmoja. Ndio maana shedi namba 8 imevunjwa ili walao kuongeza eneo la meli kuegesha kupakua makontena. Hivyo basi ucheleweshaji mkubwa unaouona ndio sababu kubwa. Sio tra inagwa nao wana mapungufu yao.
Kwa maoni yangu eneo la kigamboni pale linalotazamana na bandari lingejengwa ili kuwa bandari. Ule upande wa jeshi na tpdc. Pale panatosha na sehemu nzuri tu. Jeshi linaewza kuhama au kusogea pembeni.
...hata tukiongeza uwezo wa kushusha makontena na kuweka system yenye uwezo wa super computer kukusanya kodi na fees haitasaidia sana,kitakachosaidia ni kukomesha rushwa na uzembe wa watu kutokufanya kazi...sijui kwanini inakuwa ngumu kiasi hicho kuwafanya watu wafanye kazi wakati unawalipa?dawa ni kuanza kudeal na wale wa juu...tabia ya viongozi wa tanzania kusingizia wa chini/juu yao mambo yakienda vibaya lazima iishe ndio tusonge mbele,haya mambo ya kulaumu karani wa kodi huku mkurugenzi akiachiwa aendelee na kazi wakati yeye ndio msimamizi wa shughuli zote za idara ndio mwanzo wa matatizo yote,umeshindwa kazi au idara unayoiongoza ina matatizo resign mwenyewe au risk kuwa fired,nimejifunza the hardway hii culture ya kuachia kazi hata kama sio kosa lako,excuse hazina nafasi,what matters ni results tuu!
tatizo ni ww unayetoa hiyo ruswa, anza leo kuto kutoa na subiri docs zako as long as it takes ...
clearing agents (hasa wafanya kazi wao binafsi) nao wamegeuka kua 'chai' agents. Watakuambia doc imekwama na inatakiwa 'chai kidogo' na kumbe si kweli , na ili kuhalalisha rushwa wanakata kidogo kwa maofisa TRA etc, hata kama hawakudai hiyo rushwa. Hivyo clearing agents nao ni kikwazo.
Ilikua hivyo zamani nilipokua napitisha bidhaa hapo, nafikiri hali hiyo bado ipo. Wanafanya makosa makusudi ili kuvuta muda ili mteja akae sawa kutoa rushwa.
Uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa TRA hawacheleweshi mizigo. Tena utaratibu wao wa sasa kimsingi unaharikisha utoaji wa mizigi kuliko awali. Tatizo ni ufinyu wa bandari hasa kitengo cha TICTS. Pale TICTS zinaegeshwa meli mbili tu kwa wakati mmoja ili kupakua makontena. Hali ya eneo kuwa la meli 2 tu ipo tangu miaka 20 iliyopita. Lakini biashara inakua hali kadhalika ongezeko la meli. Bandari inatakiwa kuongeza eneo la kupakulia meli za makontena kuwa zipakue hata meli 10 kwa wakati mmoja. Ndio maana shedi namba 8 imevunjwa ili walao kuongeza eneo la meli kuegesha kupakua makontena. Hivyo basi ucheleweshaji mkubwa unaouona ndio sababu kubwa. Sio TRA inagwa nao wana mapungufu yao.
Kwa maoni yangu eneo la Kigamboni pale linalotazamana na bandari lingejengwa ili kuwa bandari. Ule upande wa jeshi na TPDC. Pale panatosha na sehemu nzuri tu. Jeshi linaewza kuhama au kusogea pembeni.
clearing agents (hasa wafanya kazi wao binafsi) nao wamegeuka kua 'chai' agents. Watakuambia doc imekwama na inatakiwa 'chai kidogo' na kumbe si kweli , na ili kuhalalisha rushwa wanakata kidogo kwa maofisa TRA etc, hata kama hawakudai hiyo rushwa. Hivyo clearing agents nao ni kikwazo.
Ilikua hivyo zamani nilipokua napitisha bidhaa hapo, nafikiri hali hiyo bado ipo. Wanafanya makosa makusudi ili kuvuta muda ili mteja akae sawa kutoa rushwa.
Wakuu sidhani kama haya yanayosemwa hayafahamiki. Yanafahamika sana, tatizo ni kuwa yanaondolewa vipi? Watu wanaokula rushwa na kudai(sio kuomba) rushwa wanafahamika, lakini hawachukuliwi hatua na hwafanywi kitu. Solution ya bandari ni kuleta staff wote kutoka nje, waje waingereza waindeshe utashangaa kuona jinsi taifa, wafanya biashara na wananchi watakavyonufaika.
PM angalia unagusa maslahi ya watu. Hawa jamaa wa TRA watakushambulia sana kwa kutaka kuwamwagisha unga. Ila PM unesema kweli Rushwa ni ugonjwa wa Cancer bandarini kuanzia Assessment mpaka kwenye ku reliese.