Chriss Jericho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 257
- 394
Kwa mtindo huo hao mawaziri wana lifetime salary kutoka airtell yani wanalipwa kulingana na ukuadi waliofanya, time yao imefika vyuma kweli vitakaza kwao kweli kweli
Mh. Okoa mali ya Watanzania tuko nyuma yako.
Huwaei waliletwa na mama Mkapa ilikuwa Dili lake na mwandosya ndiyo alitia sahihi mikataba yote, hiyo kampuni ya kichina ilipiga pesa ndefu lakini pesa nyingi ilisalia kwa Wajanja wa 10% uchunguzi bila kumhoji mkapa hautakuwa uchaguzi bali porojo tupu.JESUS! inawezekana, TTCL waliingia mkataba na kampuni ya kichina iitwayo huwaei technologies, wajengewe minara ya mawasialiano, wale wachina waliniambia kuwa TTCL hawataki kutekeleza ule mkataba, bali wamezuiwa na wakubwa fulani, nikijumlisha hii habari hapo juu na hili la wachina napata jawabu
kuna watu itabidi wanyongwe ili haki itendeke, wanaotajwa hapo juu ni chenge wakati huo mwansheria mkuu, mwandosya, na mramba
Tenda ya kuibinafsha TTCL ilikuwa ya mkapa, Dili na tenda nyingi ikiwemo kuwale wachina wa Huwaei ilikuwa ya mama Ana mkapa huku mikataba yote ikisainiwa na Mwandosya kwa Amri toka juu kwa mkapa.Kunawakati ambao unajiuliza hao viongozi walikuwa wanawaza kwa kutumia kichwa kwel? Hao viogozi wanapaswa wajisalimishe wenyewe kituo chochote cha police,
Maana ni aibu wao kuendelea kuwa mtaani,
Asante jpm hyu ndye mzalendo wa kwel kwa sasa....
Afu leo jamaa wakipigsa kitanzi utasikia..ooh kwa sababu anapingana na Magu.Mwandosia huwa anasemaga amesahaulika na utawala wa JK lakini bora aendeleee tu kusahaulika maana jaama alichofanya ni zaidi ya hujMA KWA TAIFA
Mkapa na watu wake ndiyo walicheza Dili zote, je? Wataweza kumkamata mkapa?Mhhh nchi ilikuwa inaliwa hii jamani. Rais kaza buti kundi la wachache wezi walliishi kifalme na familia zao duh kamata wezi majambazi
Yafukuliwe tu.Kuna makaburi humu yakifukuliwa unaweza kubaki mdomo wazi.
Halotel ni kampuni ya kikwete sidhani kama Halotel wana uhusiano na TTCL vinginevyo labda kuwa na njama za Halotel kununua Airtel ili iwe ya tatu kwa ukubwa baada ya Voda na tigo.Ninachojua Hits ndiyo Halotel
Ushuzi..Tenda ya kuibinafsha TTCL ilikuwa ya mkapa, Dili na tenda nyingi ikiwemo kuwale wachina wa Huwaei ilikuwa ya mama Ana mkapa huku mikataba yote ikisainiwa na Mwandosya kwa Amri toka juu kwa mkapa.
Nimesoma post ya urambo tabora inasema Saskatel wakawa wanaihujumu TTCL ili waiimarishe Hits. Na wamekusanya billions ambazo hazipo kwenye akaunti ya TTCL.Halotel ni kampuni ya kikwete sidhani kama Halotel wana uhusiano na TTCL vinginevyo labda kuwa na njama za Halotel kununua Airtel ili iwe ya tatu kwa ukubwa baada ya Voda na tigo.
Lipo kaburi kubwa la kiwanda hewa kule Lindi, ni kaburi kubwa likifukuliwa kule keko kutajaa wafungwa, kuna zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, ununuzi wa kivuko feki hizo kaburi zikifukuliwa uchaguzi wa Tanzania utarejewa upya kwani Mtukufu malaika toka chato lazima atakwenda keko.Yafukuliwe tu.
Yataamsha hisia za kweli za uzalendo na uanamapinduzi.
Hali haiwezi achwa kama ilivyo.
Bring back our nationalism and patriotism
Tundu Lissu na genge lake watapinga hatua hizi watawashawishi wazungu wakashtaki mahakamani.
Hatari sana!Lipo kaburi kubwa la kiwanda hewa kule Lindi, ni kaburi kubwa likifukuliwa kule keko kutajaa wafungwa, kuna zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, ununuzi wa kivuko feki hizo kaburi zikifukuliwa uchaguzi wa Tanzania utarejewa upya kwani Mtukufu malaika toka chato lazima atakwenda keko.
Magufuli shugulika nanmajizi hayoJESUS! inawezekana, TTCL waliingia mkataba na kampuni ya kichina iitwayo huwaei technologies, wajengewe minara ya mawasialiano, wale wachina waliniambia kuwa TTCL hawataki kutekeleza ule mkataba, bali wamezuiwa na wakubwa fulani, nikijumlisha hii habari hapo juu na hili la wachina napata jawabu
kuna watu itabidi wanyongwe ili haki itendeke, wanaotajwa hapo juu ni chenge wakati huo mwansheria mkuu, mwandosya, na mramba