Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

Mleta mada lazima ana maslah binafsi ndani ya hili, kwanza anasema kamchezo kanafanyika board room, then kwenye parking, why two unrelated positions??? Ya ngoswe mwachie ngoswe
 
Hivi kumfukuza technician Mhindi ni solution? Kwani anawalazimisha!? Si wanakubali wenyewe? Mtu mwingine yeyote hawezi kutatua tatizo kama wahusika wenyewe hawaoni kama ni tatizo. Ni kutafuta chanzo cha tatizo badala ya kuhangaika na dalili za tatizo. Kufanya ngono ofisini ni dalili tatizo kubwa lilijificha.
 
Nilichokiona na kuwaza ni kuwa, huenda mdogo wako ni binti ambaye ameshahadaiwa tayari.
Pili, umeleta mada kwa namna ambayo utadhani wanaoingia shift wote wana engage katika group sex!! Kumbe sio wote,ni wachache tena tabia hiyo ni ya kujirudia kwa wahusika tu.
Mpe pole mdogo wako, dunia mbaya sana.
 
je ingekuwa wewe unaombwa utoe huko kulinda kibarua ungetoa? au ungefanyaje?
Mm c km hao nisengefanya upumbavu km huo.hao wadada wanahitaji msaada wafikra afu huyo mwhndi anatakiwa ashitakiwe nakupewa adhabu yakurudishwa kwa india nakampuni kupigwa faini km adhabu.usishangae utakuta hao madada hata mikataba yakazi hawana.inasikitisha sna
 
Kumbe tatizo ni muhindi sio ofisi nzima
Na huyo mdogo wake apeleke malalamiko yake ngazi za juu.
 
Hiii Elimu kuitwa technician enzi zile hapa bongo watu wame sota sana DIT,TCA na MTC,Kama ulitaka kuandika kiswahili sanifu ana itwa Fundi mchundo na Kama Ni kizungu Ni technician na sio technisian .heshima kwenu wale wote mlio soma FTC enzi zileee.
 
Mikataba yao yakazi ipo hvyo?je sheria zetu zinaruhusu ngono kazini tna hadharani?je huo mwhndi kawadharau hao mabinti au kawadharau watanzania wote kwasababu anaweza akavunja sheria hadharani naHAkuna wakumshugulikia?think big ndug ukombozi wafikra unahitajika
 
Kama wanatumia voda hakuna tatizo ila kama wanatumia tigo hapo lazima wadhibitiwe
 
Hiii Elimu kuitwa technician enzi zile hapa bongo watu wame sota sana DIT,TCA na MTC,Kama ulitaka kuandika kiswahili sanifu ana itwa Fundi mchundo na Kama Ni kizungu Ni technician na sio technisian .heshima kwenu wale wote mlio soma FTC enzi zileee.

Mkuu kumbuka huyo fundi mchundo anaetuhumiwa ana asili ya Asia. Labda kwa swaga za vijana wa kileo badala ya kumwita technician wameamua kumwita technisian kutokana na asili yake. Angekuwa ni fundi mchundo wa kiafrika wangemwita technifrican. Teeeeh teee.

Hata hivyo kama hizi tuhuma siyo cooked story ili kuchafuana, inafaa uongozi wa juu wa Tigo uchukue hatua na kukomesha huo udharirishaji kwani hata wao inawaharabia image yao kwenye jamii.
 
Ni upumbavu wao kukubali
Hapana ndgu si wao ni maisha magumu ndyo mana huxo garbachori anatumia huo mwanya.huyo mwihindi awajibishwe nakampuni ipewe adhabu kali kwakuruhusu upumbavu km huo.embu jamani angalau tubadilike tuwe active kazini,tukiruhusu upuuzi km huo maendeleo ya nchi tutasikia kwa wenzetu tu.mambo km hayo ndyo mana watu weupe wanatuzarau sna.
 
kabla ya kuibuka na maneno kama haya ni lazima uwe na uhakika. Ukileta mada za jabu kujifanya unashauri kampuni lakini wao wakahisi umetumwa na washindani wao kibiashara kuwachafua wanaweza kukufuatilia kwa sheria za mtandao.

haya mambo kwa uswahilini ni kawaida kuwakuta watu wawili wenye jinsia tofauti wamesimama wanaongea ukafika wakaagana hujajua walichokuwa wakizungumza na wewe ukaibua ni wapenzi na habari yako ikakubalika na wao wakabaki kimya ama kwa kudharau au kwa kutokuwa na la kufanya lakini si kwa wajuaji.

hivi wakikutafuta utoe ushahidi wa haya unao? au huyo dogo wako anao?

 
JF siku hizi imeingiliwa na utoto mwingi,panapotakiwa kujadiliwa jambo la maana wengine huleta masikhara,nikinyume na kusudi la JF ambalo ni kutaka watu wachambue hoja kwa umakini na busara na waseme kwa uwazi,nadhani wengi wao hawajui lengo na maudhui ya JF,wao hukurupuka tu kwa kujiunga na kuanza kutoa pumba,matokeo yake JF ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma,umakini haupo na ndio maana wengi wamekimbia au wamekaa kimya wameacha kuchangia mambo mbalimbali baada ya utoto kuingia hapaJF
 
This is one's mind set;

Sio kila anaetoa uroda ni kwakua anataka promotion wengine inside-born behavior !
Wanaotoa **** zao ndo wafukuzwe kazi tuu,

Hapo hapo Tigo, kuna wanafanyaki walalipwa hela kidogo lakini bado wanajipenda na kujiheshimu ( alieolewa na ambaye hajaolewa)


Mfano: huyo anaesema " hata kama nagawa K*** ni yangu ""

Hili tatizo liko kwa hao wafanyakazi....

Mimi nashauri waendelee kugongwa tuu manake wanakubali wenyewe ila sasa wasifanyie tena Boardroom ....wasogeee hata sinza kule kuna Lodge za Tsh. 25,000 per night...
 
Mke wangu angekua yupo hapo leo ndio ingekua mwisho wa kazi yake, ebu fikiria unasikia tuhuma hizi alafu mkeo nae anafanyakazi kitengo hicho hicho duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…