Habari ya asubuhi GT,
Ni siku mpya nyingine yenye asubuhi tulivu kabisa; lakini ni jambo ambalo nimeshindwa kulivumilia kukaa nalo moyoni imenilazimu kuwaletea hapa kwa lengo tu la kuonesha na kuujuza umma kuhusu tabia chafu inayofanywa na wafanyakazi mawakala wa kituo cha huduma kwa wateja waliopo ofisi za Tigo Dar es Salaam.
Jana jioni nikiwa nimepumzika nyumbani baada ya majukumu ya siku nzima, pembeni tukiwa tunapiga story na mdogo wangu alinieleza kwa masikitiko kwa kile kinachoendelea ofiisi za za Tigo za huduma kwa wateja.
Wafanyakazi hao kwa kushirikiana na wasimamizi wao (Team leaders) wamekuwa na tabia ya kuruhusu wafanyakazi hao kufanya ngono ndani ya ofisi.
Uchafu huu unafanyika wakati wa usiku na chumba kinachotumika ni boardroom ambayo wahusika wanaunda mission na team leaders then wanaruhusiwa kwenda boardroom iliyopo ofisini hapo na kutumia kwa kufanya uchafu wa namna hiyo, na mbaya zaidi ni kuwa wahusika hao ili wafanye uchafu wao wa ngono kwanza ili aonekane kwenye system kuwa yupo active anaweka kitu kinaitwa TL note ready one to one (ikiwa na maana kuwa, wahusika wanadanganya kwa kuswitch system as if wanakuwa na maongezi ya kupata feedback kutoka kwa team leaders wake.
Mbaya zaidi pia kashfa hii ya ngono zembe inafanywa na technisian wa kihindi anaefanya kazi hapo (kwa jina namuhifadhi) yeye anachokifanya hufika hapo usiku kuanzia saa mbili na kujifanya anafanya uchunguzi wa system as if ipo na tatizo, imethibitika kuwa technisian huyu hufanya ngono na mabinti/wanawake kwa kuwahadaa kwa kuwabadilishia target ambayo anatakiwa mfanyakazi kufikia kwa siku endapo kama hajafikisha.
Uchafu huu unaofanywa na technician huyo hufanyia sehemu ya wazi kabisa ya pale nje ya ofsi ambayo ni sehemu ya parking ya magari ya ofisi ya huduma kwa wateja. Imethibitishwa kuwa hata walinzi wameshalalamika sana juu ya uchafu unaofanywa na technisian huyo sehemu ya wazi ambayo ni kinyume na utamaduni wa mtanzania.
Na mpaka natoa taarifa hii; kuna wahusikwa wamefahamika japo sio wote na management haijachukua uamuzi wowote ule ukiachia kwamba team leader mmoja wa kike anaeshiriki ngono zembe na mfanyakazi wa kiume wa huduma kwa wateja alipohojiwa kwa kuhusika na uchafu huo alisema" ebu niacheni kama K*MA ni yangu nyie inawauma nni?).
Uongozi wa Tigo makao makuu ninawaomba muingilie kati suala hili; linahatarisha sana maisha ya vijana wetu, wake zetu, dada zetu, kwani wanalazimishwa kufanya hivyo kwa kuwa wana shida ya kuongezewa promotion kazini, lakini tunaomba huyo muhindi technisian mumuondoe kwani anadharirisha dada zetu kwa kufanya nao ngono nje ya ofisi sehemu ya parking ya magari kwa wakati wa usiku.
Nawatakia Asubuhi njema.