Nadhani tungeijadili kama Great Thinkers,
Tuweke utani kando,
Je, ni sawa kufanya ngono sehemu ya kazi?
Imagine umefungua biashara yako (mf. Library ya Cd) then mfanyakazi wako akawa anaitumia kufanya ngono usiku, je ni sawa??
Au una mdada wa kazi nyumbani then unarudi unakuta anafanywa sebuleni kwako, je utawapita kwa madai kua K ni yake??
Au umemkuta mdogo wako, dada ako, aunt yako kainamishwa kwenye parking za magari halfu pembeni kuna walinzi wanakunywa kahawa na wanaona mchezo mzima, je utasema K ni yake??
Imagine mdogo wako kamaliza shule juzi anaenda kuomba kazi jioni arudi anakwambia HR amemwambia ampe K ili apate kazi, je utamruhusu aende kwa kua ndio hali halisi???
Think, Think, Think.
TABIA HIYO YA KAMPUNI YA TIGO SIO NZURI WAHUSIKA WANAPASA KUFATILIA KWA MAKINI.