Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

Habari ya asubuhi GT,

Ni siku mpya nyingine yenye asubuhi tulivu kabisa; lakini ni jambo ambalo nimeshindwa kulivumilia kukaa nalo moyoni imenilazimu kuwaletea hapa kwa lengo tu la kuonesha na kuujuza umma kuhusu tabia chafu inayofanywa na wafanyakazi mawakala wa kituo cha huduma kwa wateja waliopo ofisi za Tigo Dar es Salaam.

Jana jioni nikiwa nimepumzika nyumbani baada ya majukumu ya siku nzima, pembeni tukiwa tunapiga story na mdogo wangu alinieleza kwa masikitiko kwa kile kinachoendelea ofiisi za za Tigo za huduma kwa wateja.

Wafanyakazi hao kwa kushirikiana na wasimamizi wao (Team leaders) wamekuwa na tabia ya kuruhusu wafanyakazi hao kufanya ngono ndani ya ofisi.

Uchafu huu unafanyika wakati wa usiku na chumba kinachotumika ni boardroom ambayo wahusika wanaunda mission na team leaders then wanaruhusiwa kwenda boardroom iliyopo ofisini hapo na kutumia kwa kufanya uchafu wa namna hiyo, na mbaya zaidi ni kuwa wahusika hao ili wafanye uchafu wao wa ngono kwanza ili aonekane kwenye system kuwa yupo active anaweka kitu kinaitwa TL note ready one to one (ikiwa na maana kuwa, wahusika wanadanganya kwa kuswitch system as if wanakuwa na maongezi ya kupata feedback kutoka kwa team leaders wake.

Mbaya zaidi pia kashfa hii ya ngono zembe inafanywa na technisian wa kihindi anaefanya kazi hapo (kwa jina namuhifadhi) yeye anachokifanya hufika hapo usiku kuanzia saa mbili na kujifanya anafanya uchunguzi wa system as if ipo na tatizo, imethibitika kuwa technisian huyu hufanya ngono na mabinti/wanawake kwa kuwahadaa kwa kuwabadilishia target ambayo anatakiwa mfanyakazi kufikia kwa siku endapo kama hajafikisha.

Uchafu huu unaofanywa na technician huyo hufanyia sehemu ya wazi kabisa ya pale nje ya ofsi ambayo ni sehemu ya parking ya magari ya ofisi ya huduma kwa wateja. Imethibitishwa kuwa hata walinzi wameshalalamika sana juu ya uchafu unaofanywa na technisian huyo sehemu ya wazi ambayo ni kinyume na utamaduni wa mtanzania.

Na mpaka natoa taarifa hii; kuna wahusikwa wamefahamika japo sio wote na management haijachukua uamuzi wowote ule ukiachia kwamba team leader mmoja wa kike anaeshiriki ngono zembe na mfanyakazi wa kiume wa huduma kwa wateja alipohojiwa kwa kuhusika na uchafu huo alisema" ebu niacheni kama K*MA ni yangu nyie inawauma nni?).

Uongozi wa Tigo makao makuu ninawaomba muingilie kati suala hili; linahatarisha sana maisha ya vijana wetu, wake zetu, dada zetu, kwani wanalazimishwa kufanya hivyo kwa kuwa wana shida ya kuongezewa promotion kazini, lakini tunaomba huyo muhindi technisian mumuondoe kwani anadharirisha dada zetu kwa kufanya nao ngono nje ya ofisi sehemu ya parking ya magari kwa wakati wa usiku.

Nawatakia Asubuhi njema.
 
wacha Umbea ..story za nyumbani kwako wacha kuziingiza kwnye Biashara za watu . Lengo lako ni kuharibia watu maisha na kuharibu Bsness za watu ..ntnh else. Nenda nawe kafanye ngono ofisini kwako .
 
Binafsi sijaona tatizo ... as long as kuna makubaliano na wahusika haiwasumbui. Ngono ni suala binafsi sana, si rahisi kuujua ukweli wote .....
Unajua kuna kitu kinaitwa code of conduct?au Tigo inaruhusu kufanya mapenzi board room?inawezekana bado uko shule usichangie vitu usivyovijua
 
Unajua kuna kitu kinaitwa code of conduct?au Tigo inaruhusu kufanya mapenzi board room?inawezekana bado uko shule usichangie vitu usivyovijua

Code of Conduct sio msaafu kwamba zinafanana kwa kampuni na mashirika yote, kwanza zinatofautiana na makampuni mengi hayana hicho kitu. Labda uniambie wewe unafanya kazi TIGO, unauhakika wanazo CODE OF CONDUCT na zimekataza suala hilo ... (Ukiipata ni attachie hapa)

La msingi nililozungumzia ni tuhuma za kusimulia na mdogo na kuzileta hapa watu watoe hukumu. Sijaona uwezo wako wa kuchangia na hizo shule ulizopitia unazozizungumzia ... yawezekana ulikuwa unameza tu darasani!
 
Rejea ulichoandika umesema haujaona tatizo whether ni kweli au la hiyo issue!Kuna kampuni hapa Tanzania au hata mangi Duka lake anaruhusu watu waache kazi wakabanjuane hata kama wamekubaliana?mbona unataka kukana ulichoandika?
 
kaz ipo, inasikitisha sana na tunapoelekea ni pabaya sana, wanatakiwa kulifanyia kazi hilo tatizo,pia kuna shule moja iko mikocheni nayo nimesikia walimu wa kiume wanatembea na wanafunzi wao, na kuwatishia wasithubutu kumwambia mtu yoyote kinachoendelea, sijui tunaelekea wapi
 
Rejea ulichoandika umesema haujaona tatizo whether ni kweli au la hiyo issue!Kuna kampuni hapa Tanzania au hata mangi Duka lake anaruhusu watu waache kazi wakabanjuane hata kama wamekubaliana?mbona unataka kukana ulichoandika?

Sijakana nilichoandika, jaribu tena kusoma ujumbe wa mwanzisha uzi ...

''Jana jioni nikiwa nimepumzika nyumbani baada ya majukumu ya siku nzima, pembeni tukiwa tunapiga story na mdogo wangu alinieleza kwa masikitiko kwa kile kinachoendelea ofiisi za za Tigo za huduma kwa wateja.''

Hawa watu walikua wanapiga 'story' lakini imehusisha TIGO ambayo ni kampuni yenye uongozi na taratibu, haitoshi kuhukumu kwa story tena kuhusu suala la ngono ambalo limefanyika kwa hiyari yao. Narudia suala linalohusisha ngono, ni suala binafsi sana, si rahisi kama unavyodhani kuujua ukweli wote.
 
Usijifanye hamnazo soma comment yako ya mwanzo usisumbue mahakama
 
Sasa wakitiana wao we kinakuuma nin du wabongo bans nilijua unalalamika neti haikamati kumbe watu wanaobinyana na vibanio vyao mwenyewe we potezea fanya yako Kama unaona michezo ile inakuvutia kaombe sabu
 
Tatizo hao waajiriwa wa hiko kitengo wengi wanafanya hiyo ni sehem ya kujishkiza kwa sababu maslahi madogo sn kazi ngumu
 
Inafanywa ionekane Muhindi ndio mwenye kosa halafu hao wengine hawana kosa? Vijana wa kiume hawapo hapo Customer care au Muhindi hataki ubaguzi wa kijinsia au mfumo dume anawasukumia Shaft wote?
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja linajongea mm nafikili hatua za kulifutilia jambo hili ni muhimu sana

Ikisemwa Muhindi anakukung'uta na wewe maana yake anakusugua au anajongea kukusugua? Huo msemo sikubaliani nao!
 
tuliza likichwa lako soma nilichokiandika utaelewa nilichosema; matyako ya shangazi yako
Nazidi ku prove kuwa nawe umeinamishwa bali hukupewa ujira ndo maana umekuja kushitakia humu, pole, jifunze kufanya kazi halal na si kutegemea tobo
 
Nimepitia tena huu uzi, wachangiaji ni wengi na wengi wanachangia kwa mazoea tu.
Kwa wasiojua, call centre ni kituo kikubwa maalumu cha kupokea simu zinazopigwa na wateja wa kampuni husika(sana sana kampuni za simu).vituo hivi hapo mwanzo vilimilikiwa na makampuni ya simu, na wafanyakazi wao walikuwa na ajira za kudumu na kamapuni moja kwa moja.Kwa wastani call center za hapa Tanzania, zina wafanyakazi kuanzia 350 mpaka 780 hivi. Kufuatia ushindani wa bei za upigaji simu,kampuni zote zilibinafsisha hivi vituo kwa kampuni nyingine binafsi.Kwamba unafanya kazi tigo, au voda lakini anayekulipa mishahara ni kampuni nyingine.
Hapa ndipo tatizo lipo,mishahara ya wafanayakazi hawa(call center agents) ni midogo sana, na hawana namna nyingine za kujiongezea kipato hapo ofisini.Unaweza ukawa bank teller na mshahara wako mdogo lakini kupitia "asante" toka kwa wateja, zinasaidia kukusukuma kiasi flani. Sasa kupata ajira ktk hivi vituo, kuna kujuana, rushwa, na rushwa ya ngono.Na matatizo haya sio ya call centre peke yake ni sehemu nyingi za kazi sasa ziko hivyo.
Sasa nampongeza mtoa mada kwani kajaribu kuonyesha tatizo hili jinsi lilivyo kuwa kubwa hapa nchini kwa sasa. Watu wanalazimika kufanyishwa ngono kwa ajili ya kulinda hizo kazi zao, hivyo hata kushitaki kwa wahusika mazingira sio rafiki kwao kihivyo. Haki za wafanyakazi , wafanyakazi wengi wanazijua lakini "kukosekana kwa kazi kunafanya kuwa kazi ngumu kwao" kutetea haki hizo.
 
Vyote unavyoongea na kuandika ni maneno uliyoambiwa na mdogo wako ... hapo ndipo tatizo linapoanzia!! Ni tuhuma tu zisizo na mashiko, kama hao wadada wanadanganywa na 'Mhindi' kama ulivyosema na wanainama, wewe unataka jamaa afanyeje sasa

Wanahitaji elimu kiasi gani kujua uthubutu halali, elimu na bidii kazini ndio njia pekee ya uhakika kukua kiajira ... acha jamaa awashugulikie coz hamna namna.

duuuuh hii bongo ko unafurahia ndugu yako afanyiwe hayo TUSIPENDE KUCHUKULIA KILA KITU URAHISI hapo kuna mapenzi zaidi ya pesa tena kuinamishana na usilisahau hili KUJUA KITU SI LAZIMA UONE kusikia kuambiwa au kuona mkuu tuwaonee huruma hawa wadogo zetu dada zetu ndugu zetu not fair hiyo
 
Back
Top Bottom