Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

Binafsi sijaona tatizo ... as long as kuna makubaliano na wahusika haiwasumbui. Ngono ni suala binafsi sana, si rahisi kuujua ukweli wote .....
je ikiwa mkeo ukasikia naye ni mmojawapo wanaoinamishwa parking utasema hayo?
 
Hili jambo si jema kabisa kila mtu apige picha kama linaendelea wanofanyiwa ni ndugu zetu,wadogo zetu,jirani zetu,rafiki zetu na mama wa watoto wetu hapo baadae kwa maelezo ya call center hapo jui inamaana ni sehemu ambayo imebeba umati mkubwa ambao huyo muhindi anamuingiloa mmoja baada ya mngine kila anapohitaji.....jamani tutafakari kwa makini ...hili jambo linagusa maisha yetu kwa njia moja au nyingine ...tujitahidi wale wenye dhamana walifuatilie kwa karibu ...ukwelib...uongo utajulikana tuokoe hiki kizazi maana si habari ya pesa tu ni habari ya afya za watu pia na huo mzunguko wake ni mkubwa mno ....nashindwa hata kuelewa inakuaje mwisho wa siku....vilio!!
 
Na kwanini muhindi kama ni kweli anafanya hivi anajitoa muhanga?
 
Mbaya zaidi usalama kazini hauzingatiwi ni hatari sana hii kitu.
 
je ikiwa mkeo ukasikia naye ni mmojawapo wanaoinamishwa parking utasema hayo?

Grow up ... so assume ni mkeo je wewe ungefanyaje?! Kwa akili yako utamuanzishia 'mhindi' zengwe na kumfanya aonekane ndio tatizo kuu huku 'ukimsafisha' mkeo na kuamini kufukuzwa kwake ndio kutaondoa tatizo lote ... nakupa pole! Tri to think outside the box ... Narudia, ngono na ufuska sometimes ni suala binafsi sana hivyo si rahisi kama unavyodhani kuujua ukweli wote.
 
duuuuh hii bongo ko unafurahia ndugu yako afanyiwe hayo TUSIPENDE KUCHUKULIA KILA KITU URAHISI hapo kuna mapenzi zaidi ya pesa tena kuinamishana na usilisahau hili KUJUA KITU SI LAZIMA UONE kusikia kuambiwa au kuona mkuu tuwaonee huruma hawa wadogo zetu dada zetu ndugu zetu not fair hiyo

Unaposema 'ndugu' zangu una maanisha nini? Acha ubaguzi wa rangi ... bila kujali itikadi ya mtu, unapomtuhumu mtu kitu na zaidi kinachohusu suala la ngono/ufuska ni vizuri ukawa na ushahidi wa kutosha na si habari ya kuambiwa na mtu ambaye naye kaambiwa.
 
Unaposema 'ndugu' zangu una maanisha nini? Acha ubaguzi wa rangi ... bila kujali itikadi ya mtu, unapomtuhumu mtu kitu na zaidi kinachohusu suala la ngono/ufuska ni vizuri ukawa na ushahidi wa kutosha na si habari ya kuambiwa na mtu ambaye naye kaambiwa.

wewe ndo mbaguzi maana huoni haya vitendo anavyofanya kudhalilisha wabongo wenzetu kisa pesa NA LISEMWALO LIPO HUYU KAAMBIWA LAKINI UJUE KIPO KAMA HAKIPO BORA UKAE KIMYA LAZIMA UCHANGIE kuonyesha furaha yako mkuu acha hizo INA MAANA WEWE NDUGU YAKO MPAKA MZALIWE TUMBO MOJA? usifurahie upuuzi mkuu
 
Back
Top Bottom