Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Ridhwani !
Ridhwani !
Everything Riz !
Tubadilishieni mwimbo mwengine mpya huo tushauchoka !
 
Mstari wa mwisho;wana ccm wenye wake wazuri walikuwa na hofu,kidogo ubunge wa kuteuliwa,kama ana wowowo utashtuka tu kapewa udc!Kiukweli wanaume walikuwa wanasononeka mioyoni,walau sasa wana amani!

teh teh teh teh teh umenichekesha sana
 
Bado mnaendelea tu kumsakama huyu jamaa na familia yake??? Uzuri wake hata JPM anajua kwanini mnamsakama JK,, kosa lake ni yale majina ya mfukoni,,, kukatwa kwa bwana wenu ndio kunaleta yote haya kila kukicha,, leo x-mass tu kuna thread tatu humu zote anasakamwa JK na familia yake... JK ATABAKI KUWA MWANAUME WA 2015..
Wewe ni me au ke??? Labda tuanzie hapo
 
afungunga hausiki na umiliki wa maroli mafuta wala majengo akanusha picha ya makonda kumfunga viatu si kweli
 

Attachments

  • IMG-20151225-WA0166.jpg
    IMG-20151225-WA0166.jpg
    46.3 KB · Views: 1,283
  • IMG-20151225-WA0168.jpg
    IMG-20151225-WA0168.jpg
    99.9 KB · Views: 1,173
  • IMG-20151225-WA0165.jpg
    IMG-20151225-WA0165.jpg
    99.7 KB · Views: 1,150
Kwanini haelezi uhusiano wake na kampuni ya nsagali inayomiliki ginnery na jengo la crdb pale bariadi.kunavitu hata watu wadogo huku chini tunajua
 
Mkuu Ridhiwani umeeleweka vizuri sana. Aliyekuwa akikutuhumu kwa utajiri huko CHADEMA ni Dkt Slaa na yeye leo anatuhumiwa na CHADEMA wenzake kuwa ni tajiri wa mabilioni baada ya CCM kumuhonga pesa. Haya ndio maisha.
 
Mkapa alijimilikisha mgodi wa makaa ya mawe kiwira yeye na marafiki zake, jk akawapokonya na kuurudisha serikalini. Ikiwa hayo yamefanyika kwa utawala uliopita kabla ya jk, nashauri magufuli auwangalie utawala wa jk kama nao wamejilimbikizia mali nao wapokonywe. Inatia mashaka sana utajiri wa huyu ridhwan coz hata kampuni ya mabasi ya Ratco inasemekana pia ana hisa. Minong'ono ya watu ni kuwa iweje ametajirika wakati ambao baba yake yupo madakani? Magufuli mmulike sana huyu kijana.
 
Home Shpping walikua ni wakwepaji kodi balaa...
Jamaa anampaka migodi alafu km vile alijua akahamia Dubai lakin anakuja kwa kujifichaficha na serikali inamuogopa kisa dili lao na Riz
 
hivi RZ1 hana wadogo zake au wakubwa zake?
Anae mdogo wake wa kike ameolewa na desperado moja hivi ambalo ndio lilikuwa kiungo cha upigaji wa familia, halina kazi au kampuni inayojulikana lakini anapewa ma tenda makubwa makubwa including ya kijeshi. Mtoto wa mfalme alionyeshwa the ropes na huyu.
 
Back
Top Bottom