Dawa ya upumbafu kama huo ni
wetu sisi wananchi hasa walio zezeta katika kupambana na maisha yao,
naomba adhabu kubwa ianzie kwa hao vijana ambao ni vilaza wanao amini
uwezi fanikiwa bila hongo, na hao ndio watakuwa wa kwanza kuomba rushwa
baada ya kumaliza mafunzo, nadhani elimu na uraia inatakiwa kwa vijana
wote, huko wapi uzalendo wa nchi yao,je huko police kuna biashara gani
hadi utoe laki nane, rushwa itakwisha siku watoa rushwa wataacha kutoa,
waombaji wapo siku zote,
Amka vijana
Amka tanzania
Ushikaji na uswahiba unalipeleka taifa letu pabayaTumeshasema mara nyingi Mwema, Chagonja na wenzao waondolewe lakini kuna mtu anawalinda. Waacheni tu yaishe.
Hata ukipiga hiyo namba iliyotolewa hapo juu inabidi utoe rushwa ili ipokelewe
Pole sana. You must be a Senior Police Officer in Tanzania.Hii tunaita nipe nikupe, na si rushwa kama mnavyodai.
Sasa kama hata Polisi wanaingizwa kwa rushwa au wanatoa Rushwa ili wapate hizo nafasi, hivi ni nani atayebaki kweli kwenye hii ishu ya rushwa?? Nadhani ni mimi tu
[FONT=comic sans
ms]Kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la Polisi Advera Senso kupitia
Clouds Fm leo asubuhi mtu mmoja aliyemtaja kwa jina moja kama Komba
ameshakamatwa kuhusiana na kuwepo mtandao mkubwa ndani na nje ya jeshi
hilo unajiusisha na kuwalaghai vijana wanaotaka kujiunga na jeshi la
polisi......[/FONT]
Mbona wewe ni wa kwanza kwa rushwaa!