hii inanipa picha sehemu ndogo tuu mchango wa hela za kampeni ya uchaguzi, hawa jamaa husika at the top ni vicheche balaa, harakati zazidi pamba moto nyie subirini tu vituko vijavyo utaona yaliyopita mfano ARV feki nk chamtoto. hii skendo ya hawa mapolisi kali sana yaani kama assembly line jinsi wale jamaa wanafukuzwa alafu wanakutana na wengine ndo wanaingizwa chaka. lazima nivue kofia tena nawapa 10 out of 10 kwa ubunifu despite the apparent impunity and immunity for wajanja husika, kwa mwenendo huu hata wanigeria wataanza ogopa wabongo manake we are very fast learners. inatisha kasi ya CCM bcoz design fulani watachangisha hela tosha kununua kura zote.